Kiukwer Hawa ndio Wana nifanya Nijione Mbali nipambanie Maisha kwa Kila Namna
Focus, Efforts, Discipline, and Reflection.
Achilia Mbali AUDI mi Nawaza Mke Mzuri Asee Mfano wa Hawa apa
Msema Kweri Ni Kipenzi Cha Kila Nafasi! Mimi Binafsi Nilianza Kukata tamaa ya Maisha baada ya Maisha kushuka. Asee Maisha yakishika Nawe Shuka nayo.
Sasa Basi HAWA Ndio Wamekuwa Chambo wangu yaani Nilijiahidi Mwenyew kuwa Ipo Siku Nitaoa Wake Wanne na Maisha Niyatakayo. Alhamdu