#VIDEO Zaidi ya malori 30 yanayofanya safari zake nchini Congo na Zambia yamefunga barabara katika eneo la Ubungo Maziwa jijini Dar es Salaam, baada ya TANROADS kufungua namba za usajili wa malori hayo (Plate number), kwa kile kilichodaiwa kwamba madereva wameegesha pembezoni mwa barabara.
#EastAfricaTV ipo eneo la tukio likimsubiri mkuu wa wilaya ya Ubungo kufika kwa ajili ya utatuzi wa changamoto hiyo.
#EastAfricaTV
Ni zamu ya Bi. Priskila Roine Gabriel, mjasiriamali kutoka Maasai Market - Arusha kubadilisha maisha yake baada ya kuchomoka na ushindi wa Tsh. Milioni 10 kupitia kampeni ya #SambazaShangweGusaMaisha