Yan maisha yalivyo usifurahie kuwa wa kwanza maana siku likipigwa gwaride nyumaa geuka yule wa mwisho huwa wa kwanza โฆ majivuno ujuaji mwingi sio kipaji wala hamna tuzo maisha ni kuishi peace tuu msijisahau kbs โฆ
@privaldinho huoni hata aibu ๐๐๐ kafanya nn kwanza cha ajabu hlf mechi yenu ya round ya 5 mmelambwa na watt wadogo then mtu wa digital unakuja kutusmbia pacome mmoja ni sawa naa .... TAKATAKA