I love reading, thinking, and sharing life knowledge. Every word is a lesson, every day a new page of learning. Join me on this journey of success IMYAHUDI l
Wengine wamejipata, wengine tunajitafuta...
Matajiri wana mali nyingi, masikini wana mapambano makubwa,
lakini sote tuna jina moja: BINADAMU! 🌍❤️
Mungu haangalii pochi au bank account yako bali Yupo nasi sote, katika furaha na machozi, katika ushindi na vita. 🙏
#imaniHaiishi
Fikiria hili:
Dakika 60 ukizipoteza kila siku ni sawa na:
• masaa 7 kwa wiki
• zaidi ya masaa 30 kwa mwezi
• na mamia ya masaa kwa mwaka
Huo ni muda ambao ungeweza kujifunza skills au biashara mpya ya kuongeza kipato chako .
So what will happen if Senegal refuses to return the AFCON trophy? It won’t change anything. They won’t be giving it back. Senegal You are the recognized champions.🏆💯
#AFCON2025
Mtoto wa miaka 2- 4 akikudanganya basi jua hiyo ni hatua nzuri ya ukuaji .
Kuna kitu kinaitwa Development Milestone.
Ukiona mtoto Mdogo wa miaka 4 anaamini kuna vitu akisema wewe hutojua basi hiyo ni ishara nzuri ya ukuaji wa akili yake ..
mtu amejoin X 2020 alafu Time line yake ina post 100 alafu analalamika hapati followers utapataje followers na haujuchanganyi na wenzio kama una repost post za wenzio na unaweka comment watu wata ku follow ila kama wewe unajitenga milele utabaki hivyo hivyo na folowaz wako 10.