@Celsius015 ๐๐๐ Hatupokei Ushauri kama Ambavyo Hatutoi Ushauri
Kuna Mstari Ashawah imba NEY WA MITEGO
"Nilizaliwa pekee yangu na nitakufa pekee yangu.
Muamini Mungu wako nibaki na imani yangu.
Kama kweli kuna mbingu basi nina njia yangu.
Sio baba sio mama nitakwenda pekee yangu."