@mzaziwillytuva Imani potofu kwa watu especially wa magharibi kuamini kuwa namba 13 ni ya bahati mbaya au laana. Huko Asia hasa China na Japan wao huruka 4, 14,.. kwa kuwa hutamkika kama kifo kwa kichina
@Akilnyingi Funzo na elimu nzuri kwake ilikuwa simple tu, anaomba hela ya kula unamtumia bila kuhoji af unakaa kimya basi. Maneno mengi unaonekana unababaisha
@C_NyaKundiH Hivi we jamaa huwa una shida gani na nchi yetu?
Kwanini unapenda tuharibikiwe mzee wangu. Fuateni maisha yenu uko basi kaka. Pilipili usioila yakuwashia nini?