KMC FC tumekamilisha usajili wa Kenneth Masumbuko kutoka @SangaClement kwa mkataba wa mwaka mmoja karibu kwenye familia ya kinoboys
mbet_tz
#nisimpletu @ Kinondoni Municipal DC Office https://t.co/YJyJkdWmzM
KMC FC inamtambulisha rasmi mshambuliaji Reliants Lusajo ambae amesajiliwa kwa mkataba wa mwaka mmoja kutoka Namungo Fc.
Karibu sana Manispaa ya Kinondoni.
mbet_tz… https://t.co/DIhpEOIikz
David Brayson beki wa kushoto aliekipiga Gwambina fc msimu uliopita amejiunga na KMC FC kwa mkataba wa mwaka 1. Karibu sana beki fundi Kinondoni mjini.
mbet_tz
#kinoboys#nisimpletu @ Kinondoni Municipal DC Office https://t.co/R4YGjL2DgZ
Mlinzi kwa kulia ISRAEL PATRICK amejiunga na KMC FC kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Alliance Fc.
Israel ni kinoboy, karibu Kinondoni.
mbet_tz
#kinoboys#nisimpletuu @ Kinondoni Municipal DC Office https://t.co/IitHB6TvWL
Alikuwepo msimu wa kwanza wa KMC FC kushiriki ligi kuu Tanzania bara (2018/19)akarudi katika klabu yake ya Azam fc na sasa amerejea tena kwa mkopo mwaka mmoja.
Masoud Abdallah (Cabaye) kiungo mkabaji ni kinoboy… https://t.co/omB9sfrItv
Karibu Kinondoni Martin Kiggi. KMC FC imemsajili mchezaji Martin Kiggi kutoka Alliance fc. Mchezaji huyu anaecheza nafasi ya kiungo mkabaji amesaini mkataba wa mwaka… https://t.co/5YfyWuufur
Furaha iliyoje kumkalibisha beki wa kati David Mwasa ndani ya Kinoboyz kutoka @SangaClement kwa mkataba wa miaka Miwili
#nisimpletu
mbet_tz
@walterharson official23enzo @bindeanwar joshuajulius63 shafiidaudaa_… https://t.co/vmec2zhAte
Uzoefu na uweledi ni vitu muhimu sana kwenye kazi yoyote. Andrew Vicent (Dante) rasmi ni Kinoboy,Amesaini Mkataba wa mwaka mmoja akitokea Yanga Sc.
Karibu sana Manispaa ya Kinondoni.
#kinoboys#mbet#simpletu @… https://t.co/WKnHtEDsAJ
UKO TAYARI?
Uimara wa Kikosi unatokana na uimara wa wachezaji. Kuimarisha kikosi kwa kuongeza wachezaji wenye uwezo wa kutuweka katika viwango vya juu. Tunaanza kulifanyia kazi.
Saa Kumi na Moja kamili jioni ya… https://t.co/QmAqRYnu4s
KMC Tutakuwa wenyeji wa PAN AFRICA katika mashindano ya Kombe la shirikisho. Mechi kuchezwa kati ya tatehe 24-26 mwezi huu wa Januari.
#kinoboys @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/FT6DsEO4Hy