Hatimae kesho anaweza kubeba ubingwa kama manchester city atashindwa kumfunga Bournemouth.
Ndoto ya miaka 22 inaenda kutimia HATIMAE.
#arsenal#epl#football#soccer#tutakuwepo🫵😎
Hapa ni Hospitali ya Rufaa ya Sekou-Toure Mwanza, Nduli Idd Amin Mama aliwauwa hawa ndugu zetu kwa risasi Oktoba 29 then wakakusanya miili yao na kuweiweka kama mizoga baada ya hapa wakaiba miili yote na kwenda kuizika kwenye kaburi la Halaiki.
#TanzaniaMassacre#SamiaMustGo
Nakumbuka kwenye space za sir Jeff watu walikua wanataka hadi kupigana kisa huyu manzi...!
Watu waliji dhalilosha sana kisa hii pisi na sasa sijui kapotelea wapi hayupo TL wala hapatikani normal
Yupo wapi tinna kahawa wakuu..??
Sasa hivi nataka kuwa creator wa kufanya recup na kuelezea movie kama anavyo fanya sativa katika michezo nina madini mengi sana na nimeona movie nyingi sio mchezo.
Lakini nimekosa simu yenye camera kali inayotoa mwanga mzuri nipeni sapoti wanangu wa X basi nipate camera.🙏🙏