Nimesikitishwa na taarifa ya vifo vya watu 10, waliofariki dunia katika ajali ya gari huko Same Mkoani Kilimanjaro. Nawaombea Marehemu wapumzike mahali pema peponi na majeruhi wapone haraka. Aidha, nawasihi watumiaji wa barabara kuzingatia sheria za barabarani ili kuepusha ajali.
Maelezo ya Mtaalamu Mshauri aliyefanya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa mradi wa bwawa la umeme la Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) ambalo linatarajiwa kuzalisha Megawatts 2115.
#Tunatekeleza#kaziinaendelea
2/2
Ninafurahi Nimerejea Nchini kutoka Uganda ambako mimi na mwenyeji wangu Mhe. Rais @KagutaMuseveni tumeshuhudia utiaji saini wa mikataba ya bomba la mafuta Kati ya Serikali ya Uganda na kampuni ya Total kutoka Ufaransa na hivyo kuanza ujenzi wa Bomba la mafuta