@Labella_Mafia95 ndevu zinataka ushave kwa mashine ya Umeme, na kama utatumia wembe/Razor basi utumie vizuri maana ukitumia vibaya utakwangua sana nyama hiyo hupelekea upate vipele kesho yake, Nb ukitumia wembe,razor bas paka sabuni kidevuni au baada ya kushave weka powder hutopata vipele
@BlackCarlos29@Labella_Mafia95 ndevu zitaka ushave kwa mashine ya Umeme, na kama utatumia wembe/Razor basi utumie vizuri maana ukitumia vibaya utakwangua sana nyama hiyo hupelekea upate vipele kesho yake, Nb ukitumia wembe,razor bas paka sabuni au baada ya kushave weka powder hutopata vipele
@Labella_Mafia95 Kawaida Ndevu Ukinyolea Wembe au Razor hukwangua sana Nyama so hupelekea kuota vipele siku 1/2 mbele kama hutopakaa powder ya kutosha sehem hiyo(kidevuni)! ila ukitumia hizi mashine za umeme,kucharge bila hata powder hupati vipele