Wazee imebaki Siku Moja kuwekeza kwenye #KijaniBond nyie shirika ama taasisi kubwa wekezeni 1,000,000,000 leo kwa Riba ya 10.25% jumla kwa mwaka 102,500,000 kwa miaka mitano
512,500,000 msiache fursa hii iwapite wekezeni kupitia @CRDBBankPlc Sasa.
Baada ya mapumziko ya jana Dodoma, leo Safari yetu Inaendelea kuelekea kituo kinachofuata Singida.
Shukrani za dhati kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na mwenyeji wetu Bi. Rosemary Senyamule kwa kushiriki nasi kwenye halfa ya kuagana hapa Dodoma.
#PamojaTunaweza#TwendeButiama23
UNFAITHFUL
- Picha linazidi kunoga siku baada ya siku
- je ? Safali ya aras na Asya vipi itafanikiwa
- Volkan na derin itakuwaje
- Kaa Kwa kutulia, Tukutane Leo saa 3 usiku ndani ya channel yetu pedwa ya
#AzamTwo
Ulikuwa umejipanga kuwekeza kwenye #KijaniBond usijali Bado zimebaki siku 2 wekeza sasa kuanzia 500,000/= kwa Riba ya 10.25% kila mwaka hakuna Kodi kwenye Faida yako
Safari ya Butiama Bado inaendeleaaa Usiache kuwa mmoja wa mafanikio haya unaweza
Kuendelea kua sehemu ya #TwendeButiama23 kwa kuchangia Madawati au Miti kwenda Lipa Namba: 5483454 ~ Twende Butiama Bicycle Club. #PamojaTunaweza
Tuseme umedumbukiza 50,000,000 kila mwaka (10.25%)
Unaokota 5,125,000 kwa miaka mitano 25,625,000.
Faida unachukua kila baada ya miezi 6
Hakuna Kodi, si unakuwa bonge la bilionea kabisa . wekeza na #KijaniBond sasa.
-Tunaianza wiki mpya kama hivyo ndani ya sadakatz unfaithful
- Je unafikiri kwanini Gonul amempa Kila kitu Volkan na sio serjuk ijapokuwa ndio mtoto Wa haluk bey
Maswali ni mengi ila majibu tutayapata leo usiku ndani ya Azam two
Lipia kifurushi chako mapema ili usipitwe
Siku ya jana tulifanikiwa kukabidhi madawati 50 na miti 500 na imepandwa ktk shule ya msingi Msata.
Leo safari inaendelea kuelekea Morogoro. Endelea kua sehemu ya #TwendeButiama23 kwa kuchangia Madawati/Miti kwa Lipa Namba 5483454 ~ Twende Butiama Bicycle Club. #PamojaTunaweza
Zimebaki siku 4 tu kabla ya kufungwa kwa mnada wa soko la msingi la #KijaniBond . Mnada unafungwa tarehe 06/10/2023. Baada ya hapo, zitauzwa kwenye soko la DSE kuanzia 27/10 na huenda usipate ofa ya sasa. Wahi kuwekeza kwenye KijaniBond ya @CRDBBankPlc leo na 500,000/=.
Fursa : Wajasiriamali Wanawake Vijana.
Mradi wa "Women Creating Wealth" wenye lengo la kusaidia wanawake vijana kuongeza thamani na kutengeneza biashara yenye kudumu.
Changamkia fursa kwa kujisajili Leo👇
https://t.co/sH0nQ1GuqO
Ile safari yetu ya #TwendeButiama kumuenzi Mwalimu Nyerere na kuchangia ununuzi wa madawati imeanza rasmi leo kwa kupokea baraka za Mama Maria Nyerere.
Endelea kutuma michango kupitia Lipa Namba 5483454- Twende Butiama Bicycle Club.
#PamojaTunaweza
Baada ya kupokea upako na kukanyaga mafuta ya upako,
sasa ni muda wa kupokea muujiza wako kupitia @CRDBBankPlc kwa kuwekeza na #KijaniBond utajiri wa uhakika kabisa,msikilize Mr Pato upate uelewa zaidi.
https://t.co/MdYxRsVS8n
Safari Yetu ya #TwendeButiama kwenda kumuenzi Baba wa Taifa kwa msafara wa baiskeli imewadia.
Safati itaanza trh 1 kwa msasani kwa Mwl. nyerere
Mgeni Rasmi ni Mama Maria Nyerere, Mjane wa Baba wa Taifa. Usikose kuungana nasi tukimkumbuka Baba wa Taifa kwa vitendo
@vodacomtzfound
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imedhamiria kuratibu na kuweka mazingira wezeshi kwa mradi wa biashara ya Kaboni kwa wadau wa Kitaifa na Kimataifa~ Prof. Eliakimu Zahabu
#Accountability4ClimateAction
Africa owns 40% of the globe's potential for solar power yet it only inhabits 1.48% of the total global capacity for electricity generation of solar energy~ @FrankMpahlo Founder @greengovzw1#Accountability4ClimateAction