@HecheJohn@UlimwenguJm Heri siku ya mfanano ya kuzaliwa kwako mh:maneno ya mungu yansema,"usifadhaike moyon mwake" tunajua namna Gani watu wankuchafua lakini kundi kubwa la wananchi tuko nyuma yako ishi sana kiongozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Asha Dachi Mbaruk kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Julai 14, 2026 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mbaruk anachukua nafasi iliyoachwa na Dkt. Ayub Rioba Chacha ambaye amemaliza muda wake wa kulitumikia shirika hilo.
Kabla ya uteuzi huo, Mbaruk alikuwa akihudumu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), nafasi aliyoshikilia kwa kipindi tofauti kabla ya kuhamia TBC.
Taarifa hiyo ya uteuzi imetolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu.
#MillardAyoUPDATES
Huduma za afya,maji na kama taifa linakula na uzalishaji mkubwa soko linapatikanaje,Sasa yeye anjua kuwa ndo PM,alafu anakua na mawzo ya ku deal na raia wake pumbavu kabsa
Imagine yeye ni PM na anamawazo haya,mtu wa design hii,anaweza waza kweli kuunda viwanda kwa ajili kukuza uchumi,atawaza kweli kubadili mitaala ya elimu kwa ajili ya kuboresha elimu ya kujiajili,atawaza anatatuaje changamoto za barabara kweli nk:.
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi kufanya ufatiliaji kuwabaini watu wote wanaoendeleza Mijadala ya Uchaguzi kuelekea 2030 badala ya kufanya maendeleo kwa ajili ya Wananchi.
Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo Wilayani Bunda Mkoani Mara wakati akihutubia katika Mkutano wa hadhara ambapo amesema kamwe hawataki kuona wala kusikia watu wakiendekeza mijadala hiyo kwani haina Afya katika kuwahudumia Wananchi.
#KitengeUpdates
Haya ataweza waza kweli kuhusu kuunda viwanda vya kuzalisha pembejeo za kilimo,PM atakiwa aweze namna Gani nchi inasogeaje mbele kupitia secta binaf,kukuza uzalishaji kupitia kilimo kupitia kuwawezesha wakulima,ajila kwa wasomi,kutatua miundombinu