@EsirEid Dah utafauti wa nchi za kiarabu na kimagharibi ndio hii wao kufa nisherehe kuua ni sherehe wanaumia kama binadamu wakawaida ila imani yao wanaenda sehemu salama zaidi ndio maana viongozi wao wanakuwa mbele kila siku hawajifichi angalia iraq Afghanistan libya na nyengine nyingi
@Dominicksalamb1 Huyu jamaa kwa kweli sikuwahi kujuia anawaza na kufikiri kwa kutumia nn wewe ulitakiwa ukae kimya sana coz msimamo wako ilikuwa simba kakosea na yanga anastahi point 3 leo hii unakuja na utombo mwengine fikiria kwa kutumia kichwa sio vitu vyengine mwanaume msimamamo
@HildaNewton21 Sio kanda ya ziwa hawapendi kuongozwa na wanawake coz wengi walikuwa wakimuunga mkono hayati magufuli kwa kila anachofanya ila kwa sasa ni tafauti
@lifeofmshaba Mbona ndio mpango huu sio kama Israel ndio alikusudiwa kupigana na iran USA ndio alitaka hii show ila kwanza ionekana iran anapigana na Israel halafu yeye a join
@siadevinci Jamaa wameua sana watoto na wamama gaza leo hii wanailalamikia dunia ni vile tu ni mshirika wa USA ila ingekuwa nchi hizi za kiarabu tayari dunia nzima ingeigeukia