Rais wa Senegal Bassirou Faye ameanzisha chama chake kipya cha siasa na kujiondoa kwenye chama kilichomfikisha madarakani. Hii ni baada ya kukosana na Ousmane Sonko, aliyekuwa Waziri wake mkuu ambaye pia ni kiongozi mkuu wa chama cha siasa kilichowapa ushindi wa uchaguzi 2024.
Sio physics tuu-angalia dogo anavyosimulia SOMO LA HISTORY kama unaangalia movie.
Kubalini kataeni hawa madogo wa sasa GEN Z uwezo wao wa akili upo juu sana kuliko nyie wazee wa KALE.
Hata walimu wenu wa zamani walikuwa JAU asilimia kubwa.
Hapa NECTA wakikuambia UFAULU UMEPANDA UTABISHA?
#VIDEO Maandamano nchini India yamechukua sura mpya baada ya mmoja wa waandamanaji kulipanda gari la polisi la maji ya kuwasha na kuligeuzia maafisa wa usalama wakati wa jitihada za kutawanya umati.
Maandamano hayo yalichochewa na malalamiko kuhusu uvujaji wa mitihani ya kuingia vyuo vikuu (NEET), mfumo wa elimu pamoja na madai ya ukandamizaji wa viongozi wa upinzani na wanafunzi.
Waandamanaji wanataka mageuzi katika sekta ya elimu na kujiuzulu kwa Waziri wa Elimu wa Muungano, Dharmendra Pradhan, huku polisi wakiendelea kutumia nguvu kudhibiti maandamano hayo.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
WTS
π-ππππ πππππππ ππ : {πππππ#π} π’π§ πππππππ πΉπ
ποΈ29 August 2026
π Thunder Dome
Available Tickets
π« VIP Zone
π« Zone 5,800
π« Zone 4800
β Adjacent seats
π₯Dm now to inquire
Foreigners dm ok
#UKNOW_PROJECT26#UKNOW_CONCERT_TOUR