@dailyfoodsfacts DAWA YA HARUFU MBAYA YA KINYWA.
A glass of warm water 1 tea spoon of baking soda and squeeze juice of half lemon... then guggle deep and slow for seven days.
Mchekeshaji Eric Omondi aliyasema hayo Septemba 30, 2026 kwenye kipindi cha JK LIve kinachorushwa na Citizen TV.
Fuatilia Zaidi https://t.co/vsbzqSbFe9
#JamiiForums#Democracy#AfricanPolitics#Governance
Hiki chama kinaleta taharuki huko KATORO kifuteni
😂😂; hata kile kinachosaidiwa na dola hakifui dafu.
Walidhani wanamfuata LISSU wakamkamata imekuwa balaa. Raia wako na chama chao. Hata mipango ya kumkamata @HecheJohn haitawarudisha nyuma. Ni jeshi linalozidi kusonga mbele.
Wakati Waziri Paulo Makonda anatamba na Bentley Flying Spur ya milioni 800, pale Handeni Tanga watoto wa walipa kodi wanasomea kwenye mazingira ya aina hii.
But but but “kwa hiyo ulitaka Waziri atembelee bajaji? Gari ya Waziri wa michezo inahuasiana vipi na shule? Wivu?”
Always tunasema huyu mtu ni mshamba na mjinga. Serikali haijawahi kununua Bentleys wala Maybachs kwa ajili ya Mawaziri…Why usiyatumie kwa matumizi binafsi mpaka uweke Namba za Serikali?
NB: Huwezi kutuvimbia na hela za UFISADI,na wala wewe sio Daimondi. MATAKO YAKO!😎