WALOSOMA IT BONGO ndo muda huu wa Kulithibitishia taifa kwamba Hiyo knowledge yenu its worth it.. ! Msaidia kutafuta Lead , wa all the social media hackings going on! Msimame Kusaidia Nchi!
Jux anarudisha Gharama za harusi yake Kupitia Mziki wake Nigeria! Kila page kubwa, wasanii wakubwa wanashiriki kumtrendisha na Ngoma zake, mwamba anaongeza nUmbers! ITS A WIN WIN #BIASHARA
I think ATM's Should start Giving us our MONEY FIRST before the CARD, this whole process of giving us the Card then the Money is kinda Scary!! what if the Card comes out then the Money Dont???
Hakuna gari ngumu ku i maintain,..! Hapa hapa Bongo
watu wana Lamborghini na Ferari zipo tu na namba ni A,B na C ! we tafuta Hela NUNUA UNACHOWEZA KUKIMUDU NA KUKI CONTROL ! acha maneno mengi!
Unaenda kwenye page ya msanii na Dm,π
"Unamsifia , anaona na Anakaa Kimya"
"unamsalimia Anakaa Kimya"
"unamwambia ni kiasi gani unamkubali sana na kazi yake ,anaona na hajibu ,Anakaa Kimya"
Uaamua UMTUKANE, anakujibu, anasema wewe ni HATER WAKE ! ANAKUBLOKU MILELE ππ
WHY??