Moja ya tatizo ya wasanii wetu kwenye live show ni kuto focus na sound.
Note Diamond yupo serious kwenye uwekezaji but live show bado. Very creative ila live performance sio nzuri sana.
@fbuyobe Na kuna siku ndugu zitto aliwakingia kifua siku uliyo toa kauli kali. Zitto akasema una toa maoni kwa emotion. ππ. Leo ameona kwa nini hawa watu wanadharau. ππ