@HusseinBashe Hii nzuri sana, inspired na Hii project especially kwenye unenepeshaji wa Ng’ombe. Tuandelea kujfunza kila siku kutoka kwenu mliotangulia 👏🏾
@claudian_0@PinguRahim@munyamambogo Sure, na Hii Ndio changamoto moja wapo ya walimu vijana wa sasa kujaribu kuenenda na kasi ya generation ya wanafunzi iliopo ambapo huleta kuchukuliana Poa mwisho heshima Kati ya mwanafunzi na mwalimu inakua hamna.
@pa66675@munyamambogo@ALHelmsman_14@Alvingtonhk@muuzavitenge@CandleXtz Nakuelewaa Ndio maana na mimi nikasema hio sheria ya adhabu ya viboko ni mtego sana. Ni bora waseme hamna adhabu ya viboko tuu. Maana huwez mpata huyo mtoa adhabu muda wote. Pia adhabu ni lazima iume ili usirudie kosa lakin kama haiumi mtu kosa atarudia tuu..
@claudian_0@PinguRahim@munyamambogo Kweli ticha amepanic, ila sorce nzima ni dogo maana dogo haja adhibiwa zaidi ya Fimbo nne ila yeye alisimama Kabla ya adhabu kuisha pia na kumkalipia mwalim, licha ya mwalim kumsihi mara zaidi ya mara moja kuwa akae chini.
@pa66675@munyamambogo@ALHelmsman_14@Alvingtonhk@muuzavitenge@CandleXtz Sahihi, ambapo sheria hio imekaa kama mtego maana ni adhabu inayohusisha viboko ni mkuu wa shule ndio anatakiwa kutoa. Jee Mwl mkuu atakuwepo siku zote?, vipi kuhusu yale makosa yanayohitaji maamuzi chap ya kuendana na muda. Hapo Ndio Hii sheria Bado haijawekwa sawa.
@PinguRahim@munyamambogo Walimu nao wana hisia ni binadamu, kitendo alichofanya dogo sio sawa. Hata wewe mwanao uwe una muadhibu ainuke vile na akujibu Alivyo jibu kwa huyo mwalimu apo sidhani utakuwa na response ya tofauti sana na huyo ticha apo.