@iamFallacy Fanya mazoezi acha kelele. Unaweza fanya mazoezi na ngumi ukapiga vile vile na unaweza usifanye mazoezi na ngumu usipige. Vise versa is true๐ค
@moshijnr Huu mpira ifike mahala uwe na degree yake tukasome tu. Huyu jamaa namuona mweupe sana. Alafu marking yake ya macho kinoma. Jana Libase yuko mbele yake jama ana sprint tu, kapombe kamsumbua sana๐
@SelaSela197@hecenmo Soma elewa, Yanga anacheza kila mtu ila hao ni wachezaji wa kawaida kabisaa. Israel hata aweke na Uchawi hajawahi fika ile prime ya YAO YAO
@SelaSela197@hecenmo Shida unasoma kama habari za udaku. Kwa Yanga Kibabage alikuwa anaanza?
Kibabage anaanza mbele ya zimbwe? Anaanza mbele ya Lamine, anaanza mbele ya Msindo?