@mwamwengetz Siku zote wanaonyimwa nafasi za kufunga huwa ni simba tu, ila huwezi kusikia mwana yanga analalamikia inshu kama hizo za kawaida kwenye mchezo ambao hauna hata VAR
@Mzeewajambia Ningeona makala yako ya kulalamika kupoteza muda simba walipocheza na Pamba pale Mwanza msimu uliopita, basi ningejua wewe kweli ni mchambuzi na unakasirishwa na vitu ambavyo ni vya hovyo....simba alipoteza sana muda ule mchezo, still dakika 3 zikaongezwa
@jr_mkumbojr Wapuuzi sana hawa, waliipamba sana hii mechi na kuipamba bodi ya Ligi na TFF wakijua fika Yanga hawezi kucheza mchezo huu na yeye angepewa Alama za mezani na kuwa Bingwa, sasa upepo umebadilika anajua vyovyote ataliwa na Yanga uwanjaniπ
@niceforthepain@SimbaSCTanzania Nyie ni kuwa hamko tayari kucheza na Yanga, hata hii mechi ya 15 June mlishoboka sana kwakuwa mlijua fika Yanga hawezi kucheza hivyo mlikuwa mnalazimisha alama za mezani ila sio kwamba mlikuwa tayari kucheza na Yanga, mmeharibu mechi ya tarehe 8 makusudi ili mechi isichezwe