Namshukuru Mungu leo nimechaguliwa kuwa katibu wa @bavicha_taifa kata ya kemambo jimbo la tarime vijijini ,nipo taayari kuwatumukia vijana wa chadema kuanzia ngazi ya msingi, tawi, kata na kuwawakilisha jimboni .
Tunaposema HAKI NI MSINGI WA AMANI hii kwa tafsiri ya kawaida ni kwamba "HUWEZI KUJENGA NYUMBA HEWANI".
Kwamaana kwamba lazima ujenge MSINGI kisha nyumba ifuate. Huwezi kujenga nyumba HEWANI lazima uanze na MSINGI.
KANISA KATOLIKI LINANAENDELEA KUPIGA PANAPOUMA
TUTAKUWEPO🫵😎
Tunahitaji taifa ambalo linaheshimu haki za binadamu, lina utawala wa sheria, Katiba bora na huduma bora za kijamii
Taifa linalotoa fursa sawa kwa wote bila ubaguzi
Taifa ambalo kila mwenye ndoto anaweza kuifikia sio lazima awe chawa wa mtu au kikundi
#FreeNiffer#FreeChavala
VIDEO:
"Mimi niko vizuri, Mungu awabariki wote walioniombea" ni maneno ya awali yaliyotamkwa na mfanyabiashara Jeniffer Jovin(Niffer) pindi alipoachiwa baada Mkurugenzi wa Mashtaka DPP kueleza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka ya uhaini yalikuwa yakimkabili Niffer
Mashujaa wetu wametoka na TABASAMU usoni mwao atleast kama taifa tumepata FARAJA kuwaona tena wakijumuika na sisi baada ya kipindi kigumu kupita maishani mwao.
Haya ndio maisha wakoloni weusi wameamua kutupitisha VIJANA wenye akili timamu na tuliokataa kuwa MAVUVUZELA YAO.
Hii iwe sababu nyingine ya kutufanya kuenda kaundamana disemba 9 tukalikomboe taifa letu kutoka mikononi mwa WAKOLONI WEUSI wanaoweza kumfunga mtu yeyote anaewapinga.
Poleni Familia na hongereni kwa kuwa sehemu ya mchango wa safari ya ukombozi wa taifa letu. Hakika tutashinda na majina yenu yataandikwa kwa WINO WA DHAHABU KWENYE KITABU CHA TAIFA JIPYA.
SATIVA "The Walking Dead"
TUTAKUWEPO🫵😎
Serikali zenye watu wenye ubongo unaofanya kazi zinatakiwa kutumia akili ya (@MikaChavala) katika uzalishaji siyo kumpa mashtaka ya uongo ya uhaini ambayo haiwezekani kuyathibitisha. Wanaostahili kuwepo gerezani ni mafisadi wanaotajwa na CAG. Muacheni CHAVALA. #FreeMikeChavala
Msaani wa Nigeria 🇳🇬, Akiendelea na tour yake nchini Marekani, Davido alishangaza wengi baada ya kusimamisha show kwa dakika moja huku akiwaomba mashabiki wake walio jitokeza kuiombea Tanzania kutokana na machafuko yaliyojitokeza siku chache nyuma. Show hiyo iliyoenda Kwa jina la Atlanta Concert ilihudhuriwa na mashabiki wengi, na bendera ya Tanzania ilipeperushwa muda huo.
#ThankYou @davido
“Our reporting and forensic investigation confirmed that Tanzanian police did kill protesters — many of them unarmed. Some were shot while running away, posing absolutely no threat to the police.” @LarryMadowo#TanzaniaMassacre#SamiaMustGo
Tunaposema NO REFORM NO ELECTION hii inahitajika zaidi huko kwa maCCM ndio mambo kama haya.
Sasa hapo kaongea Polepole tuu. Wakitoka wote kuongea?
Maana wote ambao tunawajua hawatakiwi na MFUMO wa dikteta SAMIA wana majina makubwa. Ndiomaana tunasema hata akikaza shingo akaenda hivi hivi anavyotaka basi atakuwa na miaka mitano migumu sana ya kuliongoza taifa.
Haya yote dawa yake ni moja tuu, kubalini mlikosea na mrudi mezani. Na kubalini kufanya REFORMS watu washiriki uchaguzi mioyo ikiwa na amani.
Hii ya kujifanya nyie MANUNDA na wananchi hawana cha kuwafanya LAZIMA iwatokee puani.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Leo tume ya uchaguzi nchini KENYA inaapa mbele za MUNGU na mbele ya dunia, na moja ya kiapo chao kikuu ni “KULINDA MAAMUZI YA WANANCHI”.
Nitafutie mahali Mkurugenzi wetu wa tume huru ya uchaguzi (Ramadhani Kailima) akila KIAPO mbele za MUNGU na mbele ya dunia kuwa atalinda maamuzi ya WANANCHI.
Hawezi kula kiapo kama hicho wakati anajua wanachoenda kusimamia sio maamuzi ya wananchi. Utakuta tuu picha za MAKABIDHIANO YA OFISI kutoka mkurugenzi aliepita MAHELA kwenda kwake.
Tunaposema KENYA imetuacha mbali ndio mambo kama haya. Uchaguzi wao mkuu ni 2027, tuna muda mwingi wa kujifunza na kuona mambo yanavyoenda.
Jinsi viongozi wanapatikana ambao ndio chachu ya maendeleo ya taifa lao.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎