SAD STORY — Hii picha ni mtu, ni mshikaji, ni rafiki, ni kaka, ni shujaa; ni mwana ambaye ndoto zake zilizimwa kwa risasi.
Ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. Alipigwa risasi akafa akiwa Ubungo.
Hii tunaijua sote – au, kama hujui, fahamu huyu ni Daniel aka Lissu wa Kitaa.
🧵🧵
Sijawahi ona nchi ina elders dishonest kama Tanzania. Kwanini hao wazee wote waliokusanyika humo ndani wanaamini wanaweza kutulaghai kwa uongo wa rejareja? Unakuwa umekosa nini hadi utetee muuwaji wakati kila mtu anajua ni muuwaji?
Tunaishi katika Dunia ambayo furaha yako Ni maumivu kwa wengine na maumivu yako Ni furaha kwa wengine inahitajika Hekima Sana .
Good morning hustlers 👊🏾
Huyu aliyebeba bendera yetu ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. Alipigwa risasi akauwawa akiwa anadai uadilifu wa bendera yetu. Mdogo wake pia aliuwawa.
Samia atalipia haya mauwaji ya halaiki. Sisi hatuko bound na blah blah za Chande aka Kiande.
RIP Daniel aka Lissu wa Kitaa!!