@barakawamb Niny ni wajinga he was Wright always in each stape mulichoonesha baada ya yey kupotez sio kigen niny nimarafiki kweny burudan tu jifikirien yey ni mwanadamu anahak yakua kweny kila kitu sio lazim awe upnd wako 🙂🙂🙂
@Sativa255 Sasa muungano unaingilia nn apo huo niukwel kaka sisi wngen uzur tupo huk zanzibar tunashuhudia hay anayo ya Sema nikwel Malaya 99% ni wabara
@Mswahili_smart@Rydx_017@athanas_pius@Balyx_@MissChelsea1221@DullahTheking2 Ukiwauliza wanafikiria kuwa nn zaid ya uwalimu utakuata wanawaza kuwa madoctor nachoka mm hii inchi hakuna mfumo wa kutengenza Elim yeny manufaa kwa jamii cause hawa wez kufikir far cause hakuna potential ya kumfany afikir kuwa hata kujikitaka katika kuwaza kupmbn na magonjwa sug
@GilbertPaul095 🤣🤣🤣 hii dunia tuliyop saiz jaman Ina vituko sana em nikupe home work kagua hapo mtaani kwenu mabnt wa miaka 14 -18 wazima wangap afu wakiolew uanalalamika nn kama washa aanza kuyafnya unadhan Kuna ajabu ip yeye kuolew na umri huo bro shida tunashanga kweny hakuna tuna force
@Mwabuk2Boniface Kiongozi samahan sana saiz tusha elew lkn kunaomba twendwe phase 2 ya vitendo kufatilia kwa vitendo hawa watawala Amelia maskio pamba CAG hakusikii tena twenden moja kwa moja kweny action 😌😌😌💔
@Elsukay0 Kulipa ada ya 10 mil afu bad unawaza kupata ajira tena serikalin still your dead mind tena unapaswa kufutwa ukiuliwa utasmbua watu kukuzika waache kuyaendea mamb yao yamsingi wakae wanakushghulikia mpuuzi mmoja 😏😏😏😏
@VungaEl74 Hizi story zako huwa unatoa wap bro like zle Tunae paka mkali nyumbani afu Kuna panya shazi sasa huy paka nmpishi au mkulima wa familia bro acha ktumia nafasi yako vibaya you have exposure now tafta vtu vya msingi ulete hpa Hao USA wangewez kufiny kwa urahis hivy hkn vta ten saiz
@Kaponda_077 Hahahaha mm pia niliamin hvy ukitaka kjua nan alichukua watumwa temebelea masoko ya watumwa na makanisa na miskiti ya kihistoria baada ya hapo utuletee jibu just simple task
@humbleQueen02 Hii ni zawadi kwa wanao chagua Sahihi can imagine mtu anachajua kabisa mungu hapind hch ninacho fanya but kwa sabab umepew Hal ya kuchagua bas unafnya na hata ukisem hv sio unaambiw usimpngie vyakuish kaka 😂😂😂😂😂
@dyabala01 Bro hawa USA kwan unafikir hawajui jamaa anawajua vzr kwamba ukisema battle field hawa jamaa nikonyo cause since many decades jamaa ni watata sana hawa Persian afu wao hawapend mdomo mwingi ana vikwazo mpka leo hajataka mlamba miguu USA hapa Kaya kanyaga em tusibir mwisho🤔🤔
@tonymaster01 Bro na hisi huo nimtego walitegwa America wakajaa Ina sadikika babu alikua na cancer so kaona kufa bure bure apan acha atumie kifochak kuwa unaganisha wa Persian kwanza then ndio hk kinachtokea raia tulio ambiwa hawa mtaki leo wana Lia afu hawataki mazngumzo zirushwe missiles bas
@paulbaita Unajua Khamenei kaishi Mika mingap na Hao mossad wenyew mtu yup madarakan since 1989-2026 wew huogop afu Hao kweny historia ya vita hawa ni machizi wa vita kasome historia ya Persian ata kwemy AI anawez kukusaidia afu utaelew vzr hawa ninamna gana walivyo kiufp USA Kaya vuruga
@mangekimambi Umecherew sana kasome historia ya Persian utawajua vizr Hao ni manguli wa vita kitambo sana afu sio wafata mkumbo wanajiamini katika wao na Dhani Ata kufa kwa Khamenei ilikua mtego wametafta sababu ya vita cause inasadika alikua na Kansa so kawatega America wamejaa mhhh hay bhan
@MariaSTsehai Ofcourse ima wezekan unamapenz marekan na Israel haijalish wanapatia au wanakosea but lazima usome nyakati na ulew kama freedom fighter usiingie mzozo utakao ondoa standard ya credibility yako uliyo nayo kwa sasa Iran raiya wake wapo sawa na uongozi Mwisho angalia credibility yk
@gaquavu@Labella_Mafia95 Sasa kwel dogo ana miaka 18 huo umri mnao mpa sio wake kama issue ni ndevu mutacherew san jamii ya waarabu wapo easy sana kuota ndevu tofaut na sie was waskum ilo lisikup shida hzo chunus za balekhe izo bro biological change