@LifeofSteph_1 Kuna janja lipo kahama apo nilipiga nalo kidato familia yao wanakimbiza mishe za madini…yeye mwenyewe anakwambia ukooo wao wachawi kisenge😅😂
Nimemsikiliza Joslin kwa umakin jana itoshe tu kusema enz za millennials ukiskia mtu anaitwa msanii oya huyo msanii kweli kweli sahv kuna kina Dogo Rema na Mama Amina 🙌
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Tumaini Godfrey (Dudubaya) amesema hatoviomba msamaha vyombo vya habari kwa maneno aliyozungumza wakati akitumbuiza kwenye tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava, Dar es Salaam, kwani alifanya hivyo kwa makusudi.
Dudubaya amesema hatotumbuiza kwenye tamasha hilo kwenye mikoa mingine.
@Mchinagraphics Possible!!! kwa vocal ya nature ingekutana na technology ya sasa hivi inayomfanya mama Amina anate beat na Chino aonekane anajua kuimba