๐Picha hizi zinaelezea mengi kuliko maneno. Imani, matumaini na uthubutu wa Watanzania chini ya @ACTwazalendo.Umati huu mkubwa ni ishara tosha ya kiu ya mabadiliko na maendeleo, Mmejitokeza kwa wingi kuandika historia, mkionesha mshikamano wa kweli. Mabadiliko yanawezekana.๐ช๐
@tazamaMbali@MkulimaKante Ni kweli kwasbb unaweza ukauliza kitu Gemini akashindwa kukujibu akakuambia hawezi kujibu swali la namna hiyo lakini Chatgpt ukimuuliza swali hilo hilo anakujibu. All in all Gemini is ๐ฅ
@tazamaMbali@MkulimaKante Nimetumia Gemini na Chatgpt, naweza kusema Gemini iko poa sana ila kuna namna Chatgpt nayo ipo vizuri hasa kwenye uharaka na kuelewa mtumiaji anataka nini na inakupa options nyingi sana, japo chuoni me huwa nawashauri sana wanangu watumie Gemini ๐ฅ
@KennedyMmari Sababu kuu ni kwamba miradi mingi ya serikali hufanywa na wanajeshi na pia wanatumia rasilimali zao wenyewe kama Cement na mawe ambazo asilimia kubwa vinatengenezwa na serikali na hii husababisha fedha nyingi kubaki ndani ya nchi yao na kupunguza gharama kubwa serikalini
At the World Government Summit in Dubai on February 4, 2026, Botswana President Duma Boko was pressed by Tucker Carlson on what Africa would do if it โruled the world.โ
โSo, what are your plans for the world once you rule it?โ Carlson asked. Boko replied that Africaโs vision is not dominance, but fairness โto make it fairer, to make it more equitable,โ ensuring intellectual property is developed across the continent, innovation serves humanity rather than a predatory elite, and economic opportunities are shared widely.
He added that Africaโs young, educated, and digitally native population positions the continent to operate globally while building prosperity from within.
Whatโs your take on President Bokoโs response to Tucker Carlsonโs question?
---
This video is credited to @WorldGovSummit
Mbunge wa Tunduru Kaskazini ambaye pia ni Katibu Mkuu wa ACT โ Wazalendo, Ado Shaibu amefunga ndoa na Rachel Kimambo aliyekuwa Katibu wa Fedha na Uchumi wa Chama cha ACT - Wazalendo.
Harusi hiyo imefanyika jana Februari 15, 2026 katika ukumbi wa Hoteli ya Whitesands iliyopo Jijini Dar es Salaam.
#mwananchiupdates
#tunawezeshataifa
Although electricity is essential for strong economic growth, there are still some urban areas where citizens do not have access to electricity and this is due to the high cost of electricity. Imagine you will have to have An amount not less than tsh. 700,000 to a tsh. 1,000,000
If Tanzania wants growth that includes everyone, is honest, and lasts:
- Electricity must be treated as key economic infrastructure.
- Transport and storage must be seen as systems that boost output.
- Credit must flow to sectors that use power and move goods
I would like to focus on the electricity issue. If we want to grow economically, we must ensure that citizens are empowered by creating a good working environment, such as ensuring that every citizen can access affordable electricity. So that they can do their jobs
If Tanzania wants growth that includes everyone, is honest, and lasts:
- Electricity must be treated as key economic infrastructure.
- Transport and storage must be seen as systems that boost output.
- Credit must flow to sectors that use power and move goods
Hii naona haina shida kaka, labda tuseme GSM ni kampuni yenye uzoefu wa kufanya hizi kazi so wapo tayari kuanza kufanya kazi yoyote muda wowote bila kujali ni ya daraja gani pale tenda inapotangazwa, ingekua ndo kazi yake ya kwanza hapo sawa tungehoji kwa kutumia swali lako.
@KennedyMmari Hii naona haina shida kaka, labda tuseme GSM ni kampuni yenye uzoefu wa kufanya hizi kazi so wapo tayari kuanza kufanya kazi yoyote muda wowote bila kujali ni ya daraja gani pale tenda inapotangazwa, ingekua ndo kazi yake ya kwanza hapo sawa tungehoji kwa kutumia swali lako.
Pongezi za dhati sana kwa Mheshimiwa Ado Shaibu kwa kuchaguliwa kwako kuwa Mbunge! Ushindi huu ni dhihirisho la sauti na imani ya wananchi waliokuchagua. Ninakutakia kila kheri kwa maslahi mapana ya wananchi wa Tunduru kaskazini pamoja na chama cha @ACTwazalendo
@IAMartin_ Kanda ya Kusini nchini Tanzania, inayojumuisha mikoa ya Lindi, Mtwara, na Ruvuma, ina utajiri mkubwa na fursa nyingi za kiuchumi ambazo zina mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa.
Lakini ndo kanda masikini zaidi ukilinganisha na kanda nyingine Why๐ข๐ฅ?