ndugu mswahili a.k.a mTZ
nakujuza,
namna pekee ya upatikanaji wa follower ukiwa mazingira ya twitter ni hivi;-
kitu cha kufanya si kushusha handle yako pekeee, na kulike pekee afu unakaa unatulia ukihisi kuna mtu ata kufollow then arudi kukuomba follow back hakuna hiyo kitu