@chapo255 Sasa hapo kuna ubaya gani kama uwepo wake pale TIPTOP ulikuwa ukileta faida ?
Kuna ubaya gani hapo kama hayo yote yalikuwa ndani ya mkataba wao ?
Zingatieni pia mchango wa TUNDA pale TIPTOP kabla yake ,baada ya yeye kuwepo na TIPTOP ilivyo sasa