"Wanauliza kwa nini bado nina moyo wa upole katika dunia ngumu hivi. Nikawaambia, 'Kwa sababu nimejionea mwenyewe jinsi ukatili na ugumu vinavyoweza kuvunja mtu, ndiyo maana nimechagua kuwa tofauti.'”
Nikisikia hizi habari za watu kutekwa najisikia vibaya sana. Watu zaidi ya saba mnakwenda kumteka kijana asiyekuwa hatari kwa usalama wa nchi nyumbani kwao mbele ya familia yake? Mnaelewa kweli trauma mnayotengeneza kwa hizi familia? Mnajua chuki mnayoipandikiza kwa jamii? Watu waliomteka Damour Nyakairo, @Ninja_Damour muachieni huko mafichoni aendelee na maisha yake. Hatutaki kuona kijana mwingine anatekwa na kupotezwa. Hatuwezi wote kufikiri na kuwaza sawa. Taifa letu litajengwa kwa msigano wa mawazo. #FreeNinjaDamour
Haijalishi itachukuwa muda gani ila moja kati ya mistake tutaifanya ni ku give up kumtafuta mwana.
Zoezi la kumtafuta Ninja mitandaoni na Mtaani lisiwe na Kikomo, kikomo ni atakapopatikana. 🤝
#FREENINJA