When I say congratulations on getting married! Just say thank you; mambo ya tuna ngojea Yako achana nayo, that's a very unnecessary piece of Information.
Swali la muhimu la kujiuliza maishani mwetu; Je Mahusiano yako yanaendeshwa kwa MVUTO ? Kwa Sababu Mvuto una weza kufifia muda wowote; ila bond yenye Maono haiwezi kufifia hata dhoruba ikija...#CleanHeart
Nimeona watu wanapost vitu ambavyo honestly, hawavina kichwa wala mkia—hypocrisy level 100.
Kuna watu wanamsema Jesca Magufuli kwamba alifeli. So what?
Kuanguka mtihani mmoja haimaanishi maisha yameisha.
Thread:👇