You tell people,
"Eat right, avoid sugar, refined carbs, gluten, seed oils, and estrogen-mimicking foods like Irish Potatoes, tomatoes and grains."
Then they say,
"We shall all die."
Then, when the medical bills come, they start asking for God's intervention.
"Oh God, what wrong did I do to deserve swallowing all these drugs?"
God gave you good health, natural foods and a brain, but you dismissed him.
Now you are suffering, invoking his name and seeking a miracle.
There is no miracle.
Just fix your diet, start fasting and be active.
#FoodFriday
What others think about you is not your problem.
What others say about you is none of your business.
What others say and think about you is their problem. It's their business.
Your business is to:
+ Set goals.
+Commit to them.
+Smash them.
#BetterTogether
Good Morning,
It is Monday.
Wake up.
A new week is here.
Get out of bed, put your life in order.
โข Pursue your goals.
โข Do the difficult work.
Keep going when things don't work your way.
Resilience is built by refusing to quit.
Get up, go and win your week.
#ManDay
The way this economy is, if you make a mistake of waking up in the middle of the night. You can't sleep again. Till morning you'll be calculating how you'll survive.
@EduTalkTz Kuna kikoba kinadai kuwa kinafanya harakati zake kwa kufuata nyayo za Baba wa Taifa lakini ukiangalia kwa umakini mienendo yao inakinzana na aliyo yaamini Mzee Nyerere.
"Kama watu wachache wanaishi maisha ya fahari fahari na watu walio wengi hawapati hata mahitaji yao ya lazima, hatuwezi kudumisha amani na utulivu nchini mwetu," Nyerere-Agosti 16, 1990.
Jaji Dunstan Nduguru amehairisha shauri hadi jumatatu 23 August 2026 saa tatu asubuhi ambapo Tundu Lissu ataendelea na utetezi wake katika kesi ya uhaini inayomkabili. TAL ameanza kujitetea mwenyewe akiwa ni shahidi wa kwanza uoande wa utetezi. WE SHALL OVERCOME. #FreeTunduLissu
Life doesn't reward intelligence, degrees, talent, morality or any of that nonsense losers tell themselves. It rewards efficiency, it's that simple. You'll watch people who you think are less deserving or any other kind of less than you, get the things you think you deserve, because they're bold enough to go after it. Anything you don't have, you don't deserve it, if you did, you'd have it.
Mzee @freemanmbowetz
Wanyama wa porini huua/kupigana kwa sababu zinazohusiana na mahitaji ya kuishi: chakula, kujilinda, kulinda watoto au eneo. Simba anawinda kwa ajili ya chakula siyo mateso, chuki, kisasi
Binadamu ni viumbe katili zaidi ya wanyama. Binadamu anaweza kumdhuru mwingine kwa sababu ya chuki, ubaguzi, tamaa, kulipiza kisasi, madaraka au kwa sababu anaona mwingine hafai kuishi
Kutoka Mikocheni kwenda ilipo Mahakama Kuu ya Tanzania ni umbali usiozidi 5KM. Kutoka Mikocheni kwenda Rufiji ulipo mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ni umbali wa 260KM
Unaweza kusafiri kwenda mkoa mwingine kwa zaidi ya saa tano kuhudhuria shughuli za Serikali katili ya CCM lakini huwezi kutumia dakika 10 kutoka kwako kwenda Mahakama Kuu katika kesi ya TAL?
Huwezi kwenda safari ya 5KM kumuona Mwenyekiti wako wa chama, aliyerithi kiti chako katika uchaguzi HURU na HAKI lakini unaweza kwenda 260KM kuungana na watesi wa Mwenyekiti wako?
Nini muhimu zaidi kwako? Ni wewe ulitueleza miradi ya maendeleo haiwezi kuwa mbadala wa haki za binadamu. Leo kuna watu wanatekwa na kupotezwa, wanashtakiwa kwa ugaidi na uhaini. Hujui?
Lakini umechagua nini? Nimekusikiliza ukisema โmradi wa JNHPP usichukuliwe kisiasa kwa kuwa ni mradi unaokwenda kusaidia uchumiโ. Umesahau ulitueleza nini kuhusu miradi ya MAGUFULI?
Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe kwa sasa ni โmjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA - ni kutokana na hiki kinachoitwa โustaafuโ wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa
Kwa maana kwamba, Freeman Mbowe yupo katika kundi sogozi la WhatsApp na mengine (kama yapo) ambayo wajumbe wa kamati kuu wanajadili kwa hisia zao tofauti masuala mbalimbali ya chama
Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu CHADEMA huwezi kwenda Mahakamani katika kesi ya kiongozi wa chama, lakini unaweza kwenda katika shughuli zinazoongozwa na mwenyekiti wa CCM
Freeman Mbowe umesahau, wakati ukishtakiwa kwa makosa ya uongo ya UGAIDI, Tundu Lissu alikuwa Belgium akijiuguza majera ya risasi. Aliomba kukutana na Rais alipokuwa Brussels
Pamoja na mambo mengine waliyokubaliana, alisema Mwenyekiti Freeman Mbowe aachiwe ndiyo tufungue ukurasa mpya. Tundu Lissu alitujulisha mwenyewe hayo alipozungumza na umma.
Tundu Lissu akiwa na siku 500 gerezani. Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe hujawahi kukanyaga Mahakamani kuanzia Kisutu hadi Mahakama Kuu hata kwa bahati mbaya.
Saa 24 baada ya Mahakama Kuu kusema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya UHAINI ya uongo na uzandiki, Freeman Mbowe unaibuka katika shughuli za Serikali ukiwa na MAWAZIRI.
Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA umekataa kabisa kuhudhuria shughuli zozote za CHADEMA lakini unaweza kuhudhuria shughuli unazoalikwa na WATAWALA KATILI wa CCM.
Unahudhuria shughuli za Serikali umeongozana na mawaziri wa Serikali katili ya CCM wakati ambao wanachama na wafuasi wa CHADEMA kwa mamia wamekamatwa na kushtakiwa kwa UGAIDI?
Mzee Freeman Mbowe umesahau haraka. Kuna watu walifungwa gerezani, wengine sasa ni walemavu, wengine sasa ni marehemu kwa sababu ya kupigania jina lako ukiwa kiongozi wa chama chetu.
Umesahau, wakati unakamatwa na Serikali katili ya CCM, 2021, wanachama wa CHADEMA walikwenda kuonyesha โsolidarityโ na wewe pale KISUTU. Walikamatwa, wakashtakiwa, wakafungwa
Najutia zile siku nilisimama nawe, kukutetea na kunadi jina lako kwa nia njema kabisa nikifikiri unapambania uhuru, haki na mabadiliko ya kweli. Haikuwa hivyo. Ulitudanganya tukishindwa.
Nasema kwa kuwa kwa hiari yangu, niliamua kusimama nawe, kukunadi katika mazingira ambayo ilionekana ni kama kuuza kitimoto Mecca. Lakini sikutarajia tukishindwa, tuisaliti CHADEMA
Wengine sasa tumeelewa kwa kuchelewa sana. Hii chuki haiwezi kuwa ya kushindwa uchaguzi. Lazima kuna mafekeche mengine. Kuna kingine kimeujaza chuki moyo wako. Je, kuna mrija, umekatwa?
Najutia kumpa mtoto wangu jina lako, Freeman.
Finding your purpose.
Are you struggling to understand your purpose in life?
Do this:
1. Pick a pen & paper
2. Ask yourself
+ Where do I want to be in 5 years?
+ What do I want to be in 5 years?
3. Write your answers down.
4. Meditate.
Hii ndio Tanzania ya CCM ya awamu ya sita.
Gazeti la mwanahalisi limefungiwa ila Jamvi la habari kwa vile limeandika habari anayoitaka Samia Suluhu basi lipo hewani.
Magazeti yote mawili hayastahili kufungiwa sababu ya umuhimu wa uhuru wa habariโฆ..
Tuendeleee kupambana, hii hali lazma ikome.