VIDEO:
Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa katika mapambano ya kuleta mabadiliko nchini kwa muda mrefu, akilinganisha juhudi hizo na mapambano ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Akizungumza leo katika Jukwaa la Demokrasia, Profesa Tibaijuka amesema mapambano ya Mwalimu Nyerere ya kudai uhuru wa Tanganyika yalidumu kwa takribani miaka 7, kuanzia mwaka 1954 hadi 1961, wakati CHADEMA imekuwa ikiendelea na mapambano yake kwa muda mrefu zaidi.
“Hawa wenzetu juhudi inaendelea, tuwape nguvu, lakini kazi ni ngumu kwa sababu kubadili 'establishment' ya ndani, mjue ni ngumu kuliko kuwabadilisha 'external establishment',” amesema Profesa Tibaijuka.
Aidha, Profesa Tibaijuka amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inaweza kufanyiwa mabadiliko ili kutoa nafasi zaidi kwa demokrasia, ikiwemo suala la usajili wa vyama vya siasa akitoa mfano kupitia vijana wanaojaribu kusajili chama cha siasa lakini wamekumbana na vikwazo, huku akieleza kuwa suala hilo sasa liko mahakamani.
“Sasa ngoja niwaambie nyie Wanasheria, wameshindwa hawa vijana, wanataka kuandikisha chama cha Siasa, wamewekewa mizingwi, sasa hivi wako Mahakamani wanapambana,” amesema.
Miongoni mwa mabadiliko aliyopendekeza Prof. Tibajuka kwenye katiba ya 1977 ni pamoja na mabadiliko ya uandikishaji wa Vyama vya siasa pamoja na suala la uraia pacha.
Inashauriwa mtoto chini ya miaka mitano aachwe Ubongo wake ukue kwanza na ukomae ndio aanze kufundishwa masomo na elimu za darasani, ikibidi aanze shule za awali basi kazi yake kubwa iwe ni kucheza, kufurahi na kukua.
Mazungumzo haya na Dkt. Edward Machage, Bingwa wa Magonjwa ya Watoto yalifanywa kupitia kupitia TBC Online.
Kama unateswa au unasumbuka na mahusiano/mapenzi, una mpango wa kuoa au kuolewa, Maisha yanakuchanganya, unaona umri unaenda ila still u have nothing, in short huelewi , unakaribia ku give UP????
MSIKILIZE HUYU DADA, USISASAHAU KU BOOKMARK NA RETWEET/REPOST NA MWINGINE AJIFUNZE
Tuseme una mtaji wa 2,000,000 TZS.
Unanunua mashine ya popcorn na kuiweka sehemu yenye watu wengi.
Tuchukulie unapata 80,000 TZS kwa siku.
80,000 × 28 siku = 2,240,000 TZS kwa mwezi.
Ukiondoa gharama za mahindi, mafuta, vifungashio na kodi, bado unaweza kubaki na faida nzuri ikiwa eneo ni sahihi.
Location inaweza kuwa muhimu kuliko ukubwa wa mtaji hapo .
Narudia tena kukupa code ya kutoboa kwa mtaji mdogo tu.
Achana na kuwaza kufungua bar kubwa utajaza meza nyingi na viti ukose wateja.
Fungua liquor store uza ugimbi wa kila aina nje weka kijana mchoma kuku kama wale wa stendi ndani tafuta mhudumu mmoja pisi
Utafanikiwa tu📌
1.Shule uliambiwa jibu moja ni sahihi.
2.Lakini maisha yana majibu mengi.
3.Ndiyo maana unachanganyikiwa.
4.Unapokutana na uhalisia.
5.Sio kosa lako , tatizo ni system iliyo kuandaa .
Dogo alileta business plan nimpe 78k anunue gunia la machungwa linakua na machungwa 600 mpaka 620 atauza road machungwa 2 sh 500 akiuza yote ni 150k
Nikampa ndani ya siku nne kweli alimaliza Jana na akakabidhi 150k 🙌🏾
Mimi deep kiss alinifundisha Dem flan mkali WA form 1 anaitwa Maryam Tarehe 12/06/2020 nikiwa form 4 Iyo siku Nilipigwa denda ikalia kama screenshot kudadeehakika libarikiwe tumbo lilomzaa yule Mnyamwezi 🫶😂