👉Hakikisha unapouanza mwaka mpya wa 2026 basi na wewe kuwa mpya,Kimawazo,kimalengo,Kifikra,kimtazamo,ili uweze kufanikiwa na Mwenyezi MUNGU hakika utatimiza ndoto zako za mwaka mpya 2026✅
MUNGU anakujua hata pale unapojihisi huonekani.
MUNGU atakuchagua hata pale unapojisikia kupuuzwa.
MUNGU anakupenda hata unapojiona hufai.
MUNGU anatengeneza njia hata sehemu isiyoweza kupitika, na kukukinga kwa njia ambazo huzioni
Hauko peke yako Upo na MUNGU