@iamcleopatricia Sometimes kutumia madawa machungu kama hayo na ambayo hayana kipimo maalumu Ndio mwanzo wa kujisababishia kuuwa FIGO YAKO.
TAFADHALI ILINDE FIGO YAKO.
@CypherSmitRowe ALLAHU AKBAR. Kumbe Bas katika dunia hii sphere hakuna mwanadamu Wala jini amewahi fika hukoโฆ๐ง
๐ค๐ค mmmh najiuliza kunasehem hapa katika dunia magharib kunasehemu yenye giza ambapo mwana adam Wala jini hajafika ???
@CypherSmitRowe Imesemwa ngโambo za magharib sehemu yenye kiza kinene.. kumbuka magharib ndipo jua linapozama tena kwenye ile chemchem yenye matope meusi ..
so inamaanisha kule kunakiza kinene..
Hivyo Bas katika dunia hii ya sphere hakuna sehemu ambapo jua linazama kwenye matope ๐ค
@CypherSmitRowe Ukisema ncha ya dunia mashariki na magharib inafikirisha sana ..
Hususani kwahiyo dunia inayosemawa ni sphere ..
Iyo mashariki ya dunia ni wapi na magharib ya dunia ni wapi??