@godbless_lema Nunua bond, bond inatumika kama collateral nenda chukua mkopo bank, ingia arragement ya zile coupon payment(interest) za ile bond ziwe zinalipa huo mkopo, mkopo unautumia kufanya Business at maturity unapokea hela yako na mkopo usha clear. Akili mtu wangu
Unawaangalia age mates wako na washkaji uliosoma nao, wengi wametusua maisha, career, finance, assets, family nk
Usijisikie vby Bro, just calm down. Usipanic
Wakati mwingine inachukua miaka 10 kufikia mwaka mmoja utakaobadilisha kabisa maisha yako mazima
Just KEEP GOING bro!
GM
Maumivu yanatujenga kuliko raha yoyote!
Watu wengi wanataka mafanikio lakn wanaogopa mchakato wa kukua!
Ni kawaida ya ubongo kuchukulia poa,
Unaona Mtu ndani ya ndinga kali, basi unarahisha unaona alizaliwa hivyo.
Kwa wengi, kuna msoto nyuma ya mafanikio.
Embrace life!
Kama unapata shida ku-download video kwenye social media basi tumia App inaitwa ‘BlackHole’
Una pest tu link mzigo unashuka chaap!
NB: Haikubali kwa video za Snapchat
@EsirEid@thisistemidayo@CrownMediaTZ@EsirEid wakuombe RADHI ww, sisi hatuna noma na mawazo yaliyotolewa. Ni ww ndiyo bado umekumbatia Miungu ya Waarabu na Wazungu wakat mababu wa mababu zako hawakumjua huyo Mungu na hawakuwa na woga kwamba watachomwa Moto wa milele na Mungu wako wa Mbingun😂. Umekuwa Muhanga wewe😇
@EsirEid wakuombe msamaha wewe , lakini sisi tumeelewa hatuna shida na Mitazamo mingine kama ile , wewe ndiyo umefungwa kichwa yako na Miungu ya kigeni umesahau mababu zako hawakujua kuhusu Mungu wa Waarabu wala Wazungu na hawaamini kama watakuja kuchomwa moto na Mungu wako.😭😅
#TajiriLaKihaya
Yaani @thisistemidayo unajisifu Ku Trend namba moja Tanzania kwa ujinga…
Hata connection ya Amber ruty ili trend Tanzania nzima…
Ku trend sio SIFA…
@CrownMediaTZ inafaa mtuombe watazamaji wenu RADHI…
Our Ancestors conducted brain surgeries since over thousands of years ago done mostly by a Herbalist which the Europeans called Witch doctors cause they never understood the science of using herbs.
The patient was given lots of alcohol, then pinned down by people and the herbalist will split their skull and remove the tumor from the brain. Then cover the gape with herbs and bind the skull together with ropes made from palm fronds. Patient heals over some weeks. #Africa