Mwanangu ukiwa chini ya miaka 35 we bado mdogo sana,,Zingatia Malengo yako,Zingatia sana kutengeneza mifumo itakayokuingizia pesa.Malaya hana shukrani Malaya hatakupeleka popote.Niamini.
Currently the world population is almost 8.3 billion people. The universe has embraced you with that enormous opportunity exploit it like you will never see tomorrow.
Keep showing up
Mwanaume siku zote hazaliwi akiwa amefanikiwa . Mwanaume anajengwa kupitia juhudi anazozifanya kufika kilele Cha mafanikio..Mafanikio hayakusubiri wewe uwe tayari kuyapata. Maisha hayatakupa unachotaka Maisha yatakupa kile unachotafuta.Amini.
Hatuwezi kuwaza sawa ila starehe unazopenda siku zote Zina mwisho mbaya. Hakuna maumivu makali kwenye maisha kama kuishi maisha ya majuto. Epuka starehe zinazokupa furaha ya muda mfupi.
Mwanaume anaweza kukesha mpaka saa nane usiku, akaamka saa kumi na mbili asubuhi, akiwa na madeni, hana fedha, Yuko peke yake, na bado akawa na imani kuwa siku moja kila kitu kitakaa sawa. Huku ndiko kuwa mwanaume.