Jeremiah Kioni: Miaka 10 Uhuru Kenyatta alikuwa amepata deni ya 6.7 trillion. 1 year 10 months, Ruto amechukua deni ya 5.2 trillion. Uhuru did 6.8 in 10 years na tunaona Express Way, SGR na yale mengine. Hii 5.2 ya Ruto umeona nini? Mimi nimeona saa yake, 55 million, nimeona ya Sudi 17 million, nimeona mshipi 460,000. Nimeona kiatu amevaa 500,000. Nimemuona kwa ndege ya milioni mia mbili. Kila wikendi namuona Sudi amebeba pesa na karatasi ya nylon akipeleka makanisani