Mnataka ima ajiuzulu akae pembeni awe mkunja ngumi kama sisi ili baadae wamnyakue kama Slowboy nd'o tuamini kuwa si maigizo yao ya siku zote?
Mamvi alijiuzulu, ilisaidia vipi taifa kupata katiba mpya na kuwawajibisha wahuni wengine?
Oyaa! Ima kaza, ikibidi wakung'oe wao wenyewe
VIDEO:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche ameendelea kusisitiza kuwa hakuna maridhiano yatakayokubalika kuanza isipokuwa tu pale Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, Tundu Lissu atakapoachiwa huru, na vikao vya CHADEMA kutoa uamuzi.
Heche ametoa msimamo huo leo Jumatano Julai 22, 2026 akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam ambapo amesisitiza kuwa CHADEMA haitahusika katika meza ya mazungumzo yatakayofanyika bila kuwa na mpatanishi wa nje atakayekuwa katikati ya pande zinazozungumza.
โHakuna mazungumzo yatakayofanyika bila mwenyekiti kuwa nje, hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila watu kuwajibika, hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila โmediatorโ ambaye atakuwa katiโฆ ndiyo mazungumzo ya maana ambayo yametokeaโ, ameeleza Heche.