Public Administration π || @Mzumbe University || Young Africans Fan πΉπΏπ°|| Man City π₯|| Barcelona|| Cool Gentleman|| Complicated relationship|| Risk taker
@cleansheet_1 Mlisema timu yetu ina wachezaji wa mechi ndogo hivyo wakati tunafanya maamuzi yetu tafadhali mkae kimya kabisaaa maana hatuhutaji maelekezo yenu kama unataka Depu Unda timu yako msajili wewe umpe mkataba wa kudumu
@Moker___@millardayo Kwqni kuna mtu alikuwa na kosa hivi unajua kesi ya uhaini wewe kesi yoyote lazima uwe na ushahidi na mashahidi na ushahidi wako mbele ya mahakama ukubalike pasi na kutia shaka (beyond reasonable doubt) walikuwa na ushahidi kwa kila mtuhumiwa??
@Daktariwayanga@bbcswahili Do you think you are clever than BBC unajua kazi ya vyombo vya habari au unafikiri ujinga wanaofanya TBC,STAR TV, ITV, WASAFI,CLOUDS na wengine ndo kazi yao ya msingi thats wrong kinachofanywa na BBC huo ndo uhabarishaji that is Investigative Journalism wana uthibitisho si porojo
@georgerugambwa Personally siwezi kuwapa airtime watu ambao kupata hicho cheo Elimu haihusiki ni wingi wa ndevu na kujua kusoma kiarabu wewe ukiona walichokisema si ni ujinga mtupu bora wangenyamaza kuficha ujinga wao kuliko kujidharirisha walivyo weupe kichwani kama AG