Inshue Kubwa ni kwamba ,Wanaharakati wengi Tupo X (Twitter) , Yani ukiingia humu ni makavu live , Huwezi kutana na Porn Bila kuzisearch ..Hao wanaolalamika kuwa Humu Kuna Porn Basi ni Wazi wanajiengage nazo ..
Kumbe Mama Wasira ni Mshabiki wa King’s Music alafu mi nilikuwa sijui. Kama yeye analikubali “Huku” @TommyFlavour@OfficialAliKiba mimi ni nani nilipinge 🔥🔥
Maza katisha 😁
Kuzunguka kwenye Radio Interviews Na mada Yako kuu ikawa ni kuwapasua Pasua Watu ni Utoto Na Hip Hop ya Kizamani Sana Aisee ..Maraia Wanakusorora wanakuona huyu jamaa Namna gani?.mbona mtaani Kuna mengi ya Kuzungumziwa .. #HipHopSanaSociety
Kumbe kimombo kinabeba aisee ,Hawa Bilingual Rappers wakiflow Kimarekani Wanaonekana wanajua sanaaa, ila Wakiflow Kiswahili Inaonekana Kawaida tu, Kwa Mfano Ile Diss Track ya Khali Flows zake za kawaida Tu , TUWAHESHIMU SANA RAPPERS WANAOTUMIA KISWAHILI NA FLOWS ZINAKUA KALI
Khali kaspit Facts kuhusu Bongofleva ,Ila Rapers Waliojibu sasa,Utasikia ,"Usije Tz ntakupasua ,Nyama hata kwenye sambusa zipo , Nlikua nakutamani" .Tatizo mlianza Kuandika majibu kabla ya kusikia mshkaji anawauliza nini, Huwezi Kumjibu mtu Kabla ya Swali ..Huo ni mtego 🤣
Khali kaspit Facts kuhusu Bongofleva ,Ila Rapers Waliojibu sasa,Utasikia ,"Usije Tz ntakupasua ,Nyama hata kwenye sambusa zipo , Nlikua nakutamani , Tatizo mlianza Kuandika majibu kabla ya kusikia mshkaji anawauliza nini, Huwezi Kumjibu mtu Kabla ya Swali ..Huo ni mtego 🤣
Licha Ya kwamba Muziki wa Hip Hop Umekuwa ukionekana kama wa kihuni na Usiofaa ,Ndio Unaoongoza kwa kutoa vipngozi wenye Nyadhifa za Juu Serekalini ..
ULISHAJIULIZA KWANINI??..
@NikkiZohan huwezi kujilinganisha Ngwear Dead Or Alive , Hii Vita ibakie kuwa yako na @P_Majani , huku unapoipeleka utachezea bakora ,
Watu walikua wakali kaka Usichukulie Poa poa ,Tuanze @jaymoefamous kakupoteza Vibaya Mno kwenye #FreeRMX