Siku 260 Kutekwa kwa Polepole: Baada ya Mahakama, familia yagonga milango ya kimataifa
Zikiwa zimetimia siku 260 toka aliyekuwa Balozi wa Tanzania Cuba, Humphrey Polepole, kutekwa na kupotea, familia yake imegonga hodi katika majukwaa ya kimataifa ikidai uwajibikaji.
Akiongea katika kamati ya haki za binadamu ya Bunge la Umoja wa Ulaya, dada yake Humphrey Polepole, Bi Agness Polepole, amelisihi Bunge hilo kuhimiza uchunguzi huru wa kimataifa juu ya sakata hilo na mengine ya watu kutekwa na kupotezwa nchini Tanzania.
Martin Ødegaard leads as the Norway squad & their fans do the iconic Viking Row after they sealed their place in the knockout stages of the World Cup. 👏🚣