@MarekaMalili Ila Wa Tz uzuri ujinga umewatoka sasa tungeacha propaganda zilizofanywa zamani na kuendana na mabadiliko, transparency and accountability vingekua kipao mbele
@gibson_ngowi@LarryMadowo Pesa au madara isikuondolee ubinadamu, vitu vya kupita tu hivyo. Thamani ya uhai wa watu ni kubwa kuliko ayo magari. Kua binadamu basi ata kwa siku moja
@HabarimpyaTv Samahanini msemaji wa serikali huwa anatoa maneno yake binafsi au anaongea misimamo ya serikali, kuna kitu nataka kujua ni maoni binafsi au msimamo wa gavoo?