Mojtaba Khamenei ambaye ni Mtoto wa kiume wa aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametangazwa kuwa Kiongozi Mkuu wa nchi hiyo.
Motjaba anachukua nafasi ya Baba yake ambaye aliuawa kwa shambulio la Marekani wakishirikiana na Israel.
Kutangazwa kwa Motjaba kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran kunaibua hisia mpya kwamba huenda bado vita hiyo ni mbichi wengi wakiamini Mtoto huyo atalipiza kisasi kwa Marekani na Israel kwa kumuua Baba yake.
#MillardAyoUPDATES