AN ENVIRONMENTAL HEALTH PRACTITIONER ( EHP), holding BSC. EH,
C.E.O of KING LEOPARD III
Multitask, flexible, dynamic, can change according to the environment
HIZI NDIZO BIASHARA UNAZOWEZA KUFANYA KWENYE MIKOA 26 YA TANZANIA.
Pia nimeunganisha na mawazo 190 ya biashara
Kupata hii PDF yenye Pages 10.
commment "nahitaji"
"Repost" hii post
Na, hakikisha umenifollow ili niweze kuingia kwenye inbox kukutumia.
📌
Moja kati ya moments zuri ilikuwa ni kuhudhuria launching ya County Environmental Analysis report 2019 ... tukapata wasaa wakupiga picha na Mh. January Makamba @JMakamba akiwa waziri mwenye dhamana huwa nafurahi kuona ni cover photo ya Mh. Waziri @JMakamba
Kinachokufelisha nikuwang'ang'ania wanaokukataa na kuwaacha wanaokukubali
Duniani kila mtu ana watu ambao hawamkubali , unachotakiwa kufanya nikukubali kuwa hawa hawanikubali then endelea na maisha , komaa na wanaokukubali na usiwachukie wasiokukubali
#Maamuzi