I stand to be corrected, but I'm convinced that 99% of the people who build "Mega Mansions" eventually realise it was overkill and not worth the hustle.
A wise woman once told me, if you can't clean the whole house on your own, it's too big!!
Discuss.....
VIDEO:
Wakili Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface ambaye ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) @TanganyikaLaw amemkingia kifua mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA @ChademaTz
Taifa Tundu Lissu @TunduALissu kutokana na wale wanaomkosoa kwa vitendo vyake vya kukemea hadharani vitendo vya rushwa ndani ya chama hicho
"Mtu anayemsema (Tundu Lissu) hana busara nimuulize ni nini kipimo cha busara?, kipimo cha busara kipo wapi na huyo anayepima busara yuko wapi?"
VIDEO:
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hanspaul, Satbir Singh Hanspaul amesema kuwa kuna umuhimu wa kuwa na mitaala yenye kujumuisha masomo ya uchumi na biashara kwa kiasi kikubwa kwani Watanzania wengi wamekuwa na changamoto ya kushughulika na masuala ya fedha jambo ambalo amelitaja kuwa linalirudisha taifa nyuma.
Hanspaul ameyasema hayo siku ya Jumatano, Januari 08, 2025 katika Mkutano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa kampuni wa Kuhakiki Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 uliofanyika katika Serena Hotel, Dar es Salaam.
Aidha amesisitiza kuwa Taifa la Tanzania linapaswa kubadilika kwa kuacha kunakili mitaala ya elimu ya kikoloni kwani hata waliokuwa wakiifuata mitaala hiyo tayari nao wameshabadilika.
Usiwe mnyonge pindi mipango yako na tamaa zako zinaposhindwa kutimia. Mwenyezi Mungu huona mbali na kutukinga na yale tunayapanga na kuyatamani kwasababu yanakua HAYANA KHERI NASI. Badala yake hutupa MAZURI ZAIDI kwa TUNAYOSTAHILI.
Usilalamike sana yasipotimia uyatamaniyo.
Mwenyezi Mungu ana utaratibu endelevu wa ku reward hard work.
Time frame tuu ndio inaweza kuwa tofauti, so usikate tamaa au kuishia njiani matokeo yakichelewa 🤛🏼
Mafanikio yanahitaji kifua. Ukiyatangaza kabla hujayapata Kuna hatari ya kutoyafikia..
Na ukiyasimulia baada ya kuyapata Kuna uwezekano wa kuyapoteza..
Kwasababu ya husda na chuki, zilizofichwa na Tabasamu bashasha na watu wakaribu yako.
Mwalimu Mwakasege has been a blessing to this generation…ukimfatilia sana, huwezi kuwa dependent, mara leo kwenye mafuta na kesho kwenye chumvi, utajisimamia vizuri.
Ukisikia Mapinduzi ya mpira Tanzania ndio haya , Namna ambavyo timu zetu zimekuwa zinaonyesha ukomavu dhidi ya timu kutokea mataifa ya Maghreb .
Project ambayo tunayo KMC siku mtatuona katika Level hizi .
Donald Trump amemchagua Kadinali Timothy Dolan wa Kanisa Katoliki toka New York, aongoze Sala ya Ufunguzi wa tukio la kuapishwa kwake kuwa Rais wa 47 wa Marekani siku ya tarehe 20/01/2025.
As we go around the world into different regions and plant/herb availability, we also can add other remedies to our healing regimen.
For this one in the cold northern climates I would add crushed raw garlic at the end of the cooking/cooling so the enzymes are alive. This will give more of a warming from the drink as well as deep healing 🌿
Amevurugiwa uchaguzi wa uenyekiti Njombe mara tatu mwaka jana. Wanao vurugu ni viongozi wa kitaifa akiwepo Benson. Hawataki kurudia uchaguzi wa Njombe kwa sababu wanajua atashinda na atampigia kura Lissu. Bado ana vumilia. Sasa anagombea ujumbe wa Kamati Kuu. #VoteForRose@jjmnyika
BENEFITS OF THINGS WE OFTEN THROW AWAY
Many everyday items end up in the trash without us realizing their potential
By rethinking what we throw away, we can get more out of what we already have
Let me show you some common things people toss and how they can be useful!
Thread