MFAHAMU ELLEN G WHITE MWANZILISHI WA DINI AU DHEHEBU LA KISABATO SDA CHURCH.
Ilikuwaje akaachana na kanisa la Methodisti mpaka kuanzisha thehebu maarufu la Adventist Sabato?
π§΅SHUKA NA UZI π
Ukitambua hili utakuwa mwanaume rijali, imara, shupavu, mwishoni mwa January, Siku chache kabla ya kuingia February.
Mwisho wa January ni Mwanzo wa Uimara Bila Dawa UZI...π§΅
Zao la kakao ni moja ya mazao ya Kimkakati, ni fursa ambao watanzania wengi hatujaichangamkia.
Wasiliana na Mkurugenzi wa SHAMBA INITIATIVE, @bwanampanzi upate miche bora na mwongozo sahihi wa kulima zap hilo kwa Tija
Kwa upande wa @mazaohub utapimiwa afya udongo na pembejeo
FAIDA ZA PIKIPIKI KAMA NJIA YA USAFIRI BINAFSI π₯π₯
Leo Asubuhi alikuja mteja wangu ambaye nilimuuzia Boxer BM 125 ya 1,250,000/= Tarehe 21|March|2024
Baadaya kumuuzia na kumpatia ushauri juu ya maintainance na kulinda value ya pikipiki Hasa Top Up π ya pikipiki
Aliendoka
Kama Unataka KUTOBOA, hizi hapa;
Siri 10 za LAZIMA ili kupindua mezaπ§
Hakuna ajali ya mafanikio π€
Ni jasho, machozi na damu πͺ
Ndani ya dakika 3 utaenda kujifunza siri ambazo ulipaswa kufunzwa shule lakini ulifichwa ili ubaki kuwa mteja na wao kutajirika kupitia wewe.
REPOST Wengi Wajifunze!
1. Kwenye jamiii tunaishi kimazingaombwe.
Kile wanachokwambia ni sahihi. Kikiwa sahihi kweli basi hakina maana sana. Kile unachoaminishwa sio sahihi mara nyingi ndio sahihi na vina maana zaidi. Utafute ukweli daima.
2. Ujuzi adimu zaidi ni ku-unlearn na ku-relearn. Namaanisha nini hapa. Kuna mengi umejazwa na kujaa toka kwenye jamii. Unatakiwa kutambua kuwa 90% ya yale unayodhani ni kweli nia uongo. Utawezaje kutoka hapo. Unlearn & Re-learn!
3. Sanaa ya kuchukua risk ni ujuzi wa lazima kwa kila ayetaka kufanikiwa. Shule inakufanya uogope kujaribu kwamba ukikosea tu umekwenda na maji. Kumbe kwenye maisha trial & error ndo maisha yenyewe.
4. Ili kutoboa shuleni unatakiwa uwe bora zaidi kwenye mambo ambayo hayapewi kipaumbele kufundishwa darasani. Connect na watu. Jifunze ujuzi adimu. Jiandae, usisubiri kuja kusambaza bahasha. Chuo ndo sehemu pekee ya kujenga network na kutafuta watu wa kukuingiza kwenye systems.
5. Umewahi kusikia neno leverage? Naam, hilo hilo.
Kwa ufupi ni njia ya kufanya jambo kwa mafaniko kwa kutumia nguvu kidogo na matokeo makubwa.
Utajiri na maisha yapo kwenye internet. Kwenye kila hatua ya makuzi. Fursa za mtandaoni ndio za kuzingatia zaidi. Hakuna ambae hna unfair advantage.
Kazi kwako.
6. Porn, Netflix, soda, energy, madawa, GMO n.k wanapiga pesa mbaya sana na jamii inanunua tena kila siku. Ujinga ni mtaji mkubwa sana kwenye jamii.
Wanaokuuzia chakula-sumu ndio hao hao wanakuuzia madawa ili uendelee kuingia shimoni. Usiogope kuuza kitu unachokileta mbele za watu kusaidia kuimprove maisha. After all watu wananunu sana hata vitu vya ajabu. Leta bidhaa yako sokoni. Na uwe proud.
7. Ujispojituma kwa bidii, jamii itakutumikisha kama mtumwa. Kwenye maisha ni aidha uchague kuishi maisha, malengo na kusudi lako au ujitoe ufahamu jamii ikupangie nini cha kufanya. Usipojifunza namna ya kujisimamia, utajega ndoto kubwa za wengine na wewe kuishi maisha ya kuunga unga daima.
8. Dunia haijawahi kuwa na huruma kwa watu dhaifu. Duniani wenye nguvu wanapeta zaidi.
Wenye pesa na nguvu ndio wanaamua maisha.
Wahenga wanasema, mwenye kisu kilali.....
Hata vitabu vya Mungu vimeandika, aliyenacho ataongezewa, ana asiyekuwa nacho, hata kile kidogo atanyang'anywa.
9. Palilia sana mindest yako. Ukila ujinga unakuwa ujinga. Ukila madini unakuwa madini. Mindset sahihi kwenye maisha ni priority. Detoxify Mind yako uwe sober na kuishi maisha yako. Acha kuishi kwa hisia na daima amini kwenye logic na uhalisia badala ya kuishi kwa hisia.
10. Tunza energy yako, muda wako na pesa zako. Acha jamii iseme, wewe kaa kimya, jenga na unda bidhaa zako, ongeza thamani na tengeneza empire na legacy. Usipoteze muda wako kwenye mambo yanayokukwamisha na kukurudisha nyuma.
#Tutoboewote
Repost Wengi Wajifunze.
Ili kujifunza zaidi kwenye Bio Hacking, Personal Development na Expert Business:
FOLLOW ME:
@millambo_
Join our Telegram Community:
https://t.co/oDLpBYireS
β ATTENTION HUSTLER β
Kwenye space ya mwisho kufanya niliwahi kuongelea kuhusu baadhi website ambazo wanalipa vizuri mpaka $50 Kwa wiki Kwa mtu ambae atakua tayari kuweka mda wake kuwekeza mda wake kufanya kazi
Kama una mda na bando hii ni yako
Thread π
Kama unafahamu kuandika na kuongea kingereza vizuri na una bando la uhakika pamoja na laptop yako basi hii ni fursa Kwa ajiri yako
Hii ni fursa ambayo itakusaidia wewe kuweza kutengeneza walau $60-$100 Kwa mwezi kama utafanya walau Kwa masaa 6-8 Kwa siku
Thread in a nutshell π
@loi_life @kalikwicha_@Roma_Mkatoliki Hujui hesabu 365 uneshaikava ulipozidisha 10000 Γ30 hii Ina maanisha Kwa mwezi ndo anakuja 300,000/= ambapo 365/30=12 Sasa ni 300,000Γ12
Miongoni mwa njia ambazo hazina ugumu sana kwenye kupata pesa ya kueleweka online ni hii, nakuhakikishia unaweza kupata $500+ kwa mwezi Kama utafata njia nazokuelekeza hapa, tuliza akili na fata process zote na utaona matokeo ya kueleweka
Thread in a nutshell π