LIVE: We're back with another spacewalk! NASA's @astro_anil and ESA's @Soph_astro are retrieving and installing a high-speed communications antenna outside the @Space_Station. https://t.co/dCMMianTwt
Uliwahi kusikia nini kuhusu viwanda vinavyo tengeneza pesa?
Je ni kweli pesa zote zina tengenezwa Uswisi? Je! Unajua Afrika pia zipo nchi nyingi tu zina print pesa zao mwenye?
Huu hapa ukweli kuhusu utengenezaji na pesa
Shuka Na Uzi mfupi 🧵⤵️
Unaposema "Benz," watu wengi wanajua unazungumzia gari la kifahari, lenye hadhi na historia ndefu.
Lakini ukilitaja kwa jina lake kamili, Mercedes-Benz, unaweza kujiuliza, "Hivi kwa nini lina majina mawili? Mercedes imetokea wapi?"
Kampuni ya Benz ilianza mwaka 1886 chini ya Carl Benz, mvumbuzi wa kwanza wa gari linalojiendesha kwa injini ya mafuta (internal combustion engine).
Wakati huohuo, kulikuwa na mjamaa mwingine nchini Ujerumani, Gottlieb Daimler, ambaye naye alikuwa anahangaika kubuni injini za magari kwa kutumia kampuni yake, Daimler-Motoren-Gesellschaft (DMG).
Mara nyingi watu hufikiria Benz na Daimler walikuwa marafiki au washirika, lakini la hasha!.
Hawa watu walikuwa washindani wa moja kwa moja, kila mmoja akijaribu kuunda gari bora zaidi.
Miaka 15 baada ya kuanzishwa kwa kampuni ya Daimler, historia ilianza kubadilika pale jamaa mmoja kutoka Austria alipowasili.
Hili ni tukio la moto kabisa, limetokea jana tu, na ni funzo kubwa kwa yeyote anayedhani mapenzi na pesa ni vitu vinavyokwenda sambamba.
Unamjua Israel Adesanya, mwanamasumbwi mkali wa UFC, bondia ambaye amewahi kushikilia taji la uzani wa kati na kuwa mmoja wa wapiganaji bora kabisa duniani.
Kwa jina jingine, wanamuita "The Last Stylebender."
Kwa muda mrefu, Adesanya alikuwa kwenye uhusiano na mrembo mmoja mzuri sana anayeitwa Charlotte Powdrell.
Walionekana kuwa na chemistry nzuri, na wengi walidhania kuwa wawili hawa wangekuwa pamoja milele.
Lakini kama ilivyo kwa mahusiano mengi ya mastaa, mapenzi yalifika mwisho ghafla.
Na hapa ndipo moto ulipoanza kuwaka.
Baada ya wawili hawa kuachana, Charlotte hakuwa tayari kutoka mikono mitupu.
Aliamua kufungua kesi mahakamani, akidai kuwa anastahili mgawanyo wa mali za Adesanya kwa sababu walikuwa wakiishi pamoja kwa muda mrefu.
Imekuwa ni mfululizo kwa wakati mfupi sana kujua siri nyingi nyuma ya pazia.
Achana na wale madogo wa Dubai, ila turudi siku kadhaa nyuma ndani ya mwaka huu
Usiku wa Januari 25, 2025, ulikuwa wa kawaida kwa wengi huko Madrid, lakini kwa Eric Mandala Kinzenga, ulikuwa mwanzo wa anguko kubwa.
Tajiri huyu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), aliyefahamika kwa utajiri wake wa kupindukia, alikamatwa na polisi wa Uhispania pamoja na DEA.
Tuhuma hizi zilishitua Afrika na dunia nzima, zikifichua ukweli uliofichika nyuma ya maisha yake ya kifahari.
Ama kweli pesa ina siri nyingi sana
Kutoka kwa maisha yake ya kifalme hadi mtego wa madawa ya kulevya uliomuangusha.
Thread 🧵
Niyapi Matumizi Na madhara ya delay rings, Maana naona sikuhizi zimekuwa kimbilio la Vijana..??
Juzi nilipokea DM ya kijana akidai, Katumia hii Ringi kwa muda mrefu, Kiasi kwamba akiacha kutumia hawezi kabisa Kupiga Shoow...🙌
Wengi wametajwa kama Pablo Escobar, El Chapo, Creselda Blanco na wengine lakini hatuwezi kumsahau "Narco-President"
“Narco-President.”, ndio ni kiongozi mkuu wa nchi aliyekuwa akijuhisiaha moja kwa moja na biashara haramu ya madawa ya kulevya.
Mwaka 1989, milio ya risasi na milipuko ilitikisa mitaa ya Panama City.
Jeshi la Marekani lilivamia taifa dogo la Panama kwa operesheni ya kijeshi iliyoitwa “Operation Just Cause.”
Wanajeshi wa Marekani waliingia kwa nguvu, helikopta za kijeshi zikiruka juu, vifaru vikisambaratisha vizuizi vya barabarani.
Malengo yao yalikuwa mawili:
1. Kumkamata kiongozi wa Panama, Manuel Noriega
2. Kuvunja mtandao wa biashara ya madawa ya kulevya ambao ulikuwa umeiteka nchi nzima.
Lakini Noriega hakuwa kiongozi wa kawaida kawaida.
Alikuwa mshirika wa CIA, jasusi wa Marekani, na mtu aliyewahi kuwa na nguvu kuliko Rais wa nchi yake.
Alishuka kwenye kutoka kileleni hadi kwenye ulingo wa wasaliti. Marekani ikamtangaza kama adui
Ilikuwaje?
Thread 🧵 👇🏾
Katika hizi shughuli zake za kuwa dancer kwenye sehemu za starehe ndio kwa mara ya kwanza mtayarishaji wa muziki P-Funk Majani alimuona Kajala na kuvutiwa naye na Kuanza kufanya juhudi za kumpata.
Kajala sio tu kwamba alikuwa mapepe bali pia alikuwa ni mrembo kweli kweli. Hii shepu unayoiona anayo sasa hivi kipindi icho ndiyo ilikuwa hatari haswa. Binti alikuwa na sura, alikuwa na shepu, alikuwa mtoto wa mjini. Akipita sehemu kunazizima na vijana shingo zinakaribia kukatika kwa kumtazama. Enzi za usichana wake,
Kipindi hicho Kajala alikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na jamaa anaitwa 'Mudi Masta'. Huyu jamaa ni kaka wa damu kabisa wa msanii TID. Kitendo cha P-Funk kuanza kumtongoza Kajala kilifanya kutokea kwa bifu kubwa sana kati ya Kaka yake TID
TID mwenyewe na P-Funk.
Kuna siku akina TID, kaka yake na washkaji zao walikutana na P-Funk na washkaji zake usiku pale Club Billicanas. Ulitokea ugomvi mkubwa sana kati ya kundi la kina TID na washkaji wa P-Funk. Kama unakumbuka pale Billcanas kwenye milango ya kuingilia kwa juu kulikuwa na balcony kubwa sana.
Sasa hawa akina P-Funk na kundi la akina TID ugomvi ulikuwa mkubwa, kaka yake TID na P-Funk wakazichapa kutoka ndani ya klabu mpaka wakafika juu kwenye balcony. Ilikuwa bado kidogo watupane chini toka kule juu🙆🏽♂️
Hata baada ya ugomvi huu, P-Funk hakuacha kumtongoza Kajala. Alitumia nguvu nyingi sana na hela mpaka kumtoa Kajala kwa kaka yake TID na hatimaye kummiliki. Kipindi walipoanza mapenzi yao, P-Funk alimchukua Kajala na kumfungia nyumbani kwao Masaki kwa muda wa karibia wiki mbili wakila raha.
Hapo ikawa kiza zaa shuleni pamoja na nyumbani maan hakuonekana licha ya jitihada za kutafutwa kil kona.
Majani akachukua gari ya mama yake na wakaondoka mpaka kota za polisi Oysterbay nyumbani kwa akina Kajala, Lengo ni kajala achukue nguo nyingine’ Wao walikuwa hawajui kwamba Kajala alikuwa anatafutwa kila kona ya jiji na polisi. Kwa hiyo Polisi wa Oysterbay walipowaona tu maeneo yale, wakawakamata wote wawili na kuwaweka mahabusu wote.
Wazazi wa Kajala walipopata taarifa toka kwa polisi wenzao kwamba Kajala ameonekana na kijana chotara wa kizungu na wamewakamata na wako mahabusu, wazazi wa Kajala wakapiga msumari zaidi kwamba wawili hao wasiachiliwe badala yake walale mahabusu huko huko.
Kesho yake ndio mama yake P-Funk akasikia kwamba mwanaye amelazwa mahabusu polisi Oysterbay na ndio akaenda kumtoa mwanaye na Kajala. Baada ya kuwatoa mahabusu, Mama yake P-Funk na wazazi wa Kajala wakafanya kikao cha kuwaonya watoto wao kuhusu hicho kilichotokea kwa P-Funk kumtorosha mwanafunzi wa kidato cha pili kwa muda wa wiki mbili.
Kumbuka hapo P-Funk nae n mtu maarufu t kutokana na kumilik vifaa vya kurekodia ndani kwake (getoni kwake)⤵️
Jitaidi sana 👇
Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo!
Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!
Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi 🍍→ Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage 🥬 → Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango 🥒 → Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi → Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya 🥑 → Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀!
Mazoezi exercise🏋️ → Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani 🥦🫑 → Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
Furaha 😆 → Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili!
GOOD morning familia ❤😊
MUZIKI WA SPUNDA
MAALIM NASH X BLACK NINJA.
INAPATIKANA KWA EMAIL AU WHATSAPP.
BEI - 10,000/=
LIPIA KATIKA LIPA NAMBA ZIFUATAZO
MIXX BY YAS - 17912371
MUTALEMWA THEOBARD
M-PESA - 37126743 MAALIM STORE.
UKISHALIPIA NITUMIE UJUMBE WHATSAPP WA MUAMALA WAKO KWENYE 0769522346
Ukichukua dola 100 ya Marekani, pale mbele utamuona mwanaume mmoja amewekwa na watu wengi wanahisi huyo ni George Washington.
Subiri kwanza! Unamjua George Washington?
Washington alikuwa rais wa kwanza wa Marekani ambaye alikuwa miongoni mwa watu walioupambania uhuru wa nchi hiyo.
Sasa kwa jambo hilo watu wakaanza kuhisi kuwa yule ni Washington.