@sabelostorm Jamaa usipo post mambo ya yanga huna content ya kukupa engagement kuna post zina masaa 7 hazina hata like moja ๐๐๐ we komaa kuwapika simba ukutane na wajinga wenzako wa yanga wakujaze upepo upate impression nzuri Elon akulipe๐