Tunaomba mamlaka za Ulinzi na Usalama zimkamate na kumtia adabu mwenye akaunti @sukununu01 @sukununu02. Huu sio Uhuru wa Kujieleza ni HATE SPEECH; Huwa anadhihaki, dhalilisha na kuwatweza utu Viongozi hadi waliofariki.
Mhe. Waziri @Nnauye_Nape naomba utusaidie hili iwe somo.