PLAY OFF
Waamuzi wa mchezo kati ya Tanzania Prisons na Mbeya City leo hii kwenye uwanja wa CCM SOKINE
Ref: Hery Sadi-Dar
Ass: Glory Tesha-Dar
Ass: Respicious Dismas-Moro
4th: Kefa Kayombo- Mbeya
Match Com: Abbu Sillia- Iringa
PLAY OFF
JULY 5
First Leg
Mbeya city vs Tz Prisons
July 8
Sec Leg
Tz Prisons vs Mbeya city
Play off (promt)
July 5
Sec Leg
Polisi Tz vs Mbeya Kwanza
(Agg 4-0)
CAF Confederation Cup Draw
Quarter-Finals
Al Masry 🇪🇬 x 🇩🇿 CR Belouizdad
Olympique Safi 🇲🇦 x 🇲🇦 Wydad AC
Otoho d'Oyo 🇨🇬 x 🇪🇬 Zamalek SC
Maniema Union 🇨🇩 x 🇩🇿 USM Alger
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu Hospitali ya Wilaya ya Mbozi baada ya majibizano ya mashambulizi ya risasi kati yao na askari katika eneo la Ilembo mkoani Songwe.
Watuhumiwa hao ni Eliuta (Mapunda), Abdul (Chiba), Justine na Bruce Mwasenga.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema tukio hilo limetokea baada ya watu hao kuripotiwa kumshambulia na kupelekea kifo cha William Mwampashi (45).
Yupo mmoja alicheza Yanga tu akaitwa Diego
Yupo mmoja alicheza Simba tu akaitwa Diego
Yupo mwingine alicheza Yanga na Simba na akaitwa Diego…
Hawa ni wachezaji watatu tofauti waliocheza Simba/Yanga na kupewa hilo jina… ni kina nani hao??