Kwa faida 💰 💴 💵 ambayo FiFa wametengeneza kwenye World Cup kufanyika 🇺🇸 🇨🇦 🇲🇽 2026.
Isingekuwa policy za ukanda kuwabana FiFa si muda mrefu pengine wangerudisha tena Kombe la dunia huku huku….2038 tu hapo.
Hela tamu bana!
But i’m sure WC🏆hii ndio itatumika kama
a permanent commercial blueprint that completely changes how future World Cups will be hosted.
Kuanzia bei za tickets na takataka zingine!!
2034 utakuta ticket bei chee ni Saudi Riyal Buku tatu huko karibu na mawingu.
Kiungo wa PSG na timu ya Taifa ya Ureno, João Neves amezua gumzo kubwa baada ya kusema kuwa Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo hana tofauti na wachezaji wengine katika kikosi cha Ureno na yupo pale kwa ajili ya kusaidia timu tu kama wengine.
Kauli hiyo imeibua hisia mseto na hasira kutoka kwa mashabiki wa mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or ambapo inaelezwa hata mpenzi wake na Neves amelazimika kuzima sehemu ya maoni kwenye mitandao ya kijamii kutokana na matusi aliyokuwa akipokea.
“Tunafahamu kila kitu ambacho Cristiano amelifanyia taifa letu na ulimwengu wa soka. Lakini kwa sasa, yeye na sisi tunajua kwamba hana tofauti. Yeye ni mchezaji mwingine tu aliyekuja kusaidia. Hayuko tofauti na wengine; yupo hapa kuchangia kama sisi sote tulivyo.” — alisema Neves kwenye mahojiano ya hivi karibuni kwenye michuano ya Kombe la Dunia.
Mashabiki wengi wa Ronaldo wamekerwa na maneno hayo na kuyatafsiri kama ya utovu wa nidhamu mfungaji huyo wa muda wote kwenye timu ya Taifa ya Ureno hatua iliyopelekea mafuriko ya maoni kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya Neves na mpenziwe.
Hata hivyo wachambuzi na baadhi ya watu wameona kauli hiyo kama sehemu ya Neves mwenye umri wa miaka 21 kusisitiza umuhimu wa mshikamano wa timu badala ya kutegemea mtu mmoja.
Aidha Neves ambaye ndiye mfungaji wa bao Mchezaji la Ureno kwenye michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 mpaka sasa amefafanua kuwa alimaanisha kila mchezaji (pamoja naye) analazimika kutoa asilimia mia moja uwanjani.
#KitengeSports
@emabilly2001 Miaka 20 ijayo hata haw wa sas itonekan walikua wanalipwa kidogo. Sababu ni 2
1. Time value of money
2. Kwenye future this generation itakua failures na generations ya kipind hicho itakua advance
@EngMapundajr Shekh acha kuaminish watu uongo
Shafii kapewa mkataba wa miezi kazaa ya kuchambua kombe la dunia pale azam bt hajaama clouds.
Just inform and never influence
@markklfc Football is not a war
How that incident does affect a shot or dangerous play to PSG but what happened was unexpectable situation because they are defending their zone